inategemea ntu na ntu na mood yako kwa siku husikaHili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.
nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
Upo shemeji naanzaje kumuacha MshanaMshana hajambo,au ndio ndoa ndoano?
hahaha siku moja ntanyooka na weweIkitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
Vipi! unashangaa au unananii?
Ukaona udandie hapa eeh..haya nitakubeba
Una vya kuogopesha?
Njoo utaviona....kwanini nikuambie. ...nitapoteza uhalisiaKama sivikumbuki haviniogopeshi...niambie vipya
Kama mimi siku ile.Ikitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
Kumbe ndio mana unakuwa mnoko sanaIkitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Lini maadam?Kama mimi siku ile.
Mpaka nilikukimbia, khaaa!!!
Huchoki kuchat?
Sijui ulikuwa uzi gani ule.[emoji848] [emoji848] [emoji848] Lini maadam?
PoleSijui ulikuwa uzi gani ule.
Dah!!!
Sina hamu