Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Hili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.

nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
inategemea ntu na ntu na mood yako kwa siku husika
 
nimekosa uzi wa kuchangia.... ile nataka kutoka mara paaap nauona huu uzi nikaona sio vibaya nikijisalimisha
 
Back
Top Bottom