Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Kusoma tu tales, kuangalia movies sio za kutisha lakini, kusafiri, kusikiliza music, na nikikosa vyote kama nina muda heri nilale tu
uneshasafiri wapi na wapi Tanzania
 
Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
nakupenda, naomba tupendane Demiss
 
Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu

Ivi Demis umeolewa au bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…