Demiss mapombeeeMzee baba vipi tena... nawe unapiga ulabu na demiss
Ni vizur kama usha nijua bila shaka hata mid nitakua nisha kufahamna nishakujua... uzuri huwa haunipotei.. jilete mwenyewe tu
[emoji63] [emoji63]
Sawa kunywa savvanasinywagi mivitu mikali namna hiyo
MahabaShikamooooo
student umepotea nmekutafuta online hupatikanTicha shikamoo
Usiniambie kwan hii id mupyaaNakimbia maswali....
Eehhh...acha niwe msomajiUsiniambie kwan hii id mupyaa
Hapana mkuu.Mzee baba vipi tena... nawe unapiga ulabu na demiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haupo peke yako....umefanya la maana sanaHili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.
nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
[emoji137] [emoji137][emoji63] [emoji63]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
aseeh nachukua hii mbinuView attachment 807556
Mimi huwa naangalia mtu tuliyezoeana naye aliyechangia muda mfupi kwenye thread inayotrend kama inavyoonekana hapa kwenye screenshot halafu naufungua uzi naenda hadi mwisho kwenye post aliyochangia, nitailike na kumquote, hadi hapo na yeye atanijibu ndio mwanzo wa kujichanganya utaanza.
Kwenye huu uzi niliona Demiss kachangia na anaonekana kama kwenye screenshot ndio nikaufungua, ambapo nilidhani yeye ndio kauanzisha kumbe hakuwa yeye.
wewe kimbizana na nyaginzako tuDemiss mapombeeeView attachment 807559
[emoji8] [emoji8][emoji137] [emoji137]