Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Screenshot_2018-07-11-22-03-05.jpg

Mimi huwa naangalia mtu tuliyezoeana naye aliyechangia muda mfupi kwenye thread inayotrend kama inavyoonekana hapa kwenye screenshot halafu naufungua uzi naenda hadi mwisho kwenye post aliyochangia, nitailike na kumquote, hadi hapo na yeye atanijibu ndio mwanzo wa kujichanganya utaanza.

Kwenye huu uzi niliona Demiss kachangia na anaonekana kama kwenye screenshot ndio nikaufungua, ambapo nilidhani yeye ndio kauanzisha kumbe hakuwa yeye.
 
Hili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.

nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haupo peke yako....umefanya la maana sana
 
View attachment 807556
Mimi huwa naangalia mtu tuliyezoeana naye aliyechangia muda mfupi kwenye thread inayotrend kama inavyoonekana hapa kwenye screenshot halafu naufungua uzi naenda hadi mwisho kwenye post aliyochangia, nitailike na kumquote, hadi hapo na yeye atanijibu ndio mwanzo wa kujichanganya utaanza.

Kwenye huu uzi niliona Demiss kachangia na anaonekana kama kwenye screenshot ndio nikaufungua, ambapo nilidhani yeye ndio kauanzisha kumbe hakuwa yeye.
aseeh nachukua hii mbinu
 
Back
Top Bottom