Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Poa poa mkuuaseeh nachukua hii mbinu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuuaseeh nachukua hii mbinu
Hujawahi kukutana na balaa langu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua nini..?[emoji8] [emoji8]
student umepotea nmekutafuta online hupatikan
Lazima kila sehem niijue nimesikia eti mama T anajifichaga huku sasa Niko kwenye harakat za kumsakaHarafu kajiunga jumatatu. Lakini chaka zote anazijua.
sijuiUnajua nini..?
sawa fanya hvyoNipo ticha, ninakutumia SMS kwa namba yangu mpya.
Mambo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi umefungua uzi kama wa ku interview watu vile...?mvute huyo... utafikiri anahifadhi bundle atumie mwakani
Sio mbaya ni haki yao maana kufuka hii hatua si jambo kawaidawasalimiebwana.... nusu fainali ya kubutua hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sijui
Waoooh ndo maana nakupendaga sanaView attachment 807556
Mimi huwa naangalia mtu tuliyezoeana naye aliyechangia muda mfupi kwenye thread inayotrend kama inavyoonekana hapa kwenye screenshot halafu naufungua uzi naenda hadi mwisho kwenye post aliyochangia, nitailike na kumquote, hadi hapo na yeye atanijibu ndio mwanzo wa kujichanganya utaanza.
Kwenye huu uzi niliona Demiss kachangia na anaonekana kama kwenye screenshot ndio nikaufungua, ambapo nilidhani yeye ndio kauanzisha kumbe hakuwa yeye.
Lazima kila sehem niijue nimesikia eti mama T anajifichaga huku sasa Niko kwenye harakat za kumsaka
[emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa usijali
Sijalionanimekuuliza swali kule hujanijibu hapa nasubiri jibu langu