Upo tayari kuvumilia mateso kiasi gani usimwambie rafiki yako msaliti sehemu ulipoficha shilingi bilioni 2

Sasa mpaka ananifunga kamba na mimi namuangalia tu????
Si kasema anakuekea kilevi kwenye kinywaji au anakuvizia anakupiga na kitu kizito unapoteza faham unaamka teari ameshakufunga kamba??.....someni kabla ya ku comment
 
Si kasema anakuekea kilevi kwenye kinywaji au anakuvizia anakupiga na kitu kizito unapoteza faham unaamka teari ameshakufunga kamba??.....someni kabla ya ku comment
Na wewe usiwe kiherehere kama uharo. Hivyo vilevi vime editiwa baada ya hizo comment.

Halafu ukute ndio wewe mwenyewe muanzisha uzi umekuja kivingineπŸ˜‚πŸ˜‚
 
sijasoma uzi nimeona tu bilion 2 ni ivi nikishakuwa na bilion 2 lazima niwe mafia hakuna atakayenisumbuaa!
 
Mm nkzpata mzee baba ubest sna na kuku yeyote any way 🀣🀣🀣 vboko mkanda nitaje b2 bdo sjasema labda nikiona kama anataka kuni P dydd ndyo nitamdanganya nmezfcha ndani chn ya sofa ili nilinde kwanza tako langu kiuwanaume kwanza
 
Hapo bora nife kuliko kutoa siri,2b=milion elfu mbili,ni parefu mzee,hapo nakufa na tai yangu shingoni
 
Na wewe usiwe kiherehere kama uharo. Hivyo vilevi vime editiwa baada ya hizo comment.

Halafu ukute ndio wewe mwenyewe muanzisha uzi umekuja kivingineπŸ˜‚πŸ˜‚
Profile picha yako inasema yote mkuu imeanza balbu ukafata ubongo....
 
Zamani kuna mangi mmoja alikuwa anaendesha piki piki daladala likamsukuma pale karibu na DIT basi watu wakaanza kumsaidia kila wanavo jaribu kumsaidia kumuinua analia iiih iiih subirini kaka angu aje akasaidiwa kushikiwa cm akaongea na kaka ake akasema anakuja hayupo mbali, kitendo bila kuchelewa kaka mtu akafika faster na boda basi bwana majeruhi akatia mkono katika koti lake akatoa mabahasha yamejaa pesa akampa kaka ake ndio taratibu za kwenda hospital zikafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…