Si kasema anakuekea kilevi kwenye kinywaji au anakuvizia anakupiga na kitu kizito unapoteza faham unaamka teari ameshakufunga kamba??.....someni kabla ya ku commentSasa mpaka ananifunga kamba na mimi namuangalia tu????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kasema anakuekea kilevi kwenye kinywaji au anakuvizia anakupiga na kitu kizito unapoteza faham unaamka teari ameshakufunga kamba??.....someni kabla ya ku commentSasa mpaka ananifunga kamba na mimi namuangalia tu????
Na wewe usiwe kiherehere kama uharo. Hivyo vilevi vime editiwa baada ya hizo comment.Si kasema anakuekea kilevi kwenye kinywaji au anakuvizia anakupiga na kitu kizito unapoteza faham unaamka teari ameshakufunga kamba??.....someni kabla ya ku comment
Mm nkzpata mzee baba ubest sna na kuku yeyote any way 🤣🤣🤣 vboko mkanda nitaje b2 bdo sjasema labda nikiona kama anataka kuni P dydd ndyo nitamdanganya nmezfcha ndani chn ya sofa ili nilinde kwanza tako langu kiuwanaume kwanzaNi vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu.
Umepata kiasi cha jumla ya shilingi bilioni 2, ni pesa za kubadilisha maisha yako kwa kiasi kikubwa sana.
Hio ni siri yako ambayo rafiki yako anaijua kwa juu juu hajui ulipozificha pesa.
Ghafla rafiki anaingiwa tamaa ya usaliti anataka pesa hizo zote ziwe zake.
Anakuja nyumbani kwako kirafiki wala huwezi kumdhania yupo na mawazo yapi, anaweza tumia mbinu kibao kama kukuwekea dawa ya usingizi mzito kwenye kinywaji, kuzuga anaenda chooni kisha anakupiga na kitu kizito kisogoni unapoteza fahamu, n.k.
unaamka ukiwa umefungwa na kamba kwenye kiti.
Huamini unachokiona, uliemdhania rafiki anakuuliza "NAHITAJI HIZO PESA SHILINGI BILIONI 2 ZIPO WAPI ?"
Kuna mateso kama kupigwa vibao vizito, ngumi za usoni, viboko, mikanda, n.k.
Upo tayari kuvumilia mateso kiasi gani kufumba mdomo
Kwa mfano 😂Mkuu, Hiyo billion 2 unayo hapo?? 🤔 🤔
😅😅 Aise, story za namna hiyo tulikuwa tunamusimulia sana Mama wakati anatupikia chakula cha usiku.Kwa mfano 😂
😂 kitambo sana story za kufikirika😅😅 Aise, story za namna hiyo tulikuwa tunamusimulia sana Mama wakati anatupikia chakula cha usiku.
Profile picha yako inasema yote mkuu imeanza balbu ukafata ubongo....Na wewe usiwe kiherehere kama uharo. Hivyo vilevi vime editiwa baada ya hizo comment.
Halafu ukute ndio wewe mwenyewe muanzisha uzi umekuja kivingine😂😂