DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Hahaa
 
Kweli wewe huelewi,Rumi na RC ni kitu kimoja?,Asalaleeeh!.
 
Kweli wewe huelewi,Rumi na RC ni kitu kimoja?,Asalaleeeh!.
Wewe ndo huelewi, yaan huelewi hata chimbuko la Kanisa lako 🤣🤣🤣

RC ni Rumi ilochangamka.

Iko hivi Yesu anazaliwa wakati Rumi ikitawala.

Na Wakati huo hakukua na Dini zaidi ya Dini mbili tu...
Wayahudi na Dini alokuja kuianzisha Yesu iloitwa ( UKRISTO).

RUMI hii( ya Kipagan ilikua ikiabudi miungu na kuabudu jumapili kama siku ya Jua yaan mungu Jua) ikipambana na kuua sana watu walokua wafuasi wa Yesu, kuua wanafunzi wa Yesu n.k ,ikafikia wakati wakasema, Hawa watu kadiri tunavyowaua, ndivo wanazida kuongezeka .

Kwanini Sasa tusiwavute kwetu,,, Ndioo Kwa mara ya kwanzaz Mfalme Constantine anajitangaza yeye kama yeye kua Mkristo ili awavutie wale wakristo wa kweli ...nahapa ndipo RC ikaanza kama RUMI YA SERIKALI, NA RUMI YA KIDINI.

hata hivo hiyo haikus kikwazo Kwa wakristo wa kweli, wao wakaendelea kupinga huduma za kidini za Rumi Mpya ya kikristo .

Ndio kikaingia Kipindi Cha zama za giza, maana Rumi Mpya, iliwaona Hawa wakristo wakweli kama kichomi nahivo wakaanza kuwaua sana Hawa wakristo.

Waliua sana sana mamilion Kwa mamilion ,Rumi ikahakikisha inapoteza Biblia ,ilikua kosa kukutwa Biblia n.k

Hatimaye Mfalme Napolione anaivamia Italia na kumkamata Papa Pius wa 6 na kurudi naye kifungon Ufaransa nampaka alipokua 1798.


Ukirsto ukazidi kuenea Kwa Kasi huku, Rumi Ile ya Kipagan iliamua kua na UKRISTO mdan yake , nayo licha ya kua papa wao kauwawa ,wale wafuasi wao waliendelea na harakari zao pia.


RASIMI, BAADA YA VITA YA KWANZA YA DUNIA, KWAKUA MUSOLIN ALISAIDIWA NA MAJESHI NA WASHIRIKA WA RUMI MPYA, BASI AKAWARUDISHIA RASIMI NAFASI YAO, NA MJI WAO WA VATICAN, NA RUMI IKAINUKA UPYA KAMA KANISA NAKAMA NCHI.




Nawatia Moyo, fatilieni historian !!!

Rumi hiyohiyo kupitia Musolin wa Italia baada ya vita kuu ya kwanza kuisha, Musolin anaingia mkataba na Rumi na kuwapa Ukuu wao upya !!!
 
Mpumbavu wewe tunakujua huwa una chuki na UKATOLIKI
Misabato huwa haina akili mmemezeshwa masumu ya kipuuzi sana
 
Conspiracy theories. Story tu.
 
Kuna walakini wa kujua behind the scene kuna nini uelekeo wa hiyo njia.
 
Wamekaririshwa hao kuwa na chuki, wala hawawezi kujifunza, hawajui kanisa katoliki liliteswa sana na utawala wa rumi chini ya Nero. Hawaelewi ata kitabu cha ufunuo maana yake.
Hata hayo madhehebu yao yanayo wakririsha yamekuja kuanzia karne ya 15 mpaka sasa,
Kabla ya hapo Kanisa lilikua ni moja tu.
 
Umesema hii taarifa umeifikisha Vatican kwa Papa!?
 
kama kuna walinzi huyo mhalifu alipitia njia gani?wewe umejuaje kama njia hiyo inakatazwa halafu wengine wasijue?kuna uhusiano gani kati ya njia kuzuiwa na kufanya uhalifu?je mwenye eneo akikuambia usipite kwenye eneo lake hilo linakufanya wewe ufanye uhalifu?halafu hizo pesa zinazotozwa zinakatiwa risiti na hiyo rushwa unayoisema una uhakika nayo?kuna malalamiko yoyote ambayo mliishapeleka kwa uongozi husika?
 
Hata kama tuhuma ulizoandika ni kweli, hawakupaswa kufanya tukio hilo kama njia ya kulipiza kisasi! Wanaozuia njia ni watu, na sio kanisa. Yawezekana wapo watu wachache (waumini) kutoka ndani ya kanisa waliohusika kuzuia njia, na huenda ni wachache sana. Na wamefanya hivyo kutokana na udhaifu (mapungufu) yao kama binadamu! Kanisa linatumiwa na watu wengi kwa shughuli za imani. Kwanini hakikutafutwa chanzo na hatimaye kishughulikiwe na kuleta suluhu bila kufanya uharibifu?! kwanini mgogoro uhusishe na watu wasiohusika?
 
Na kwann mpite kwenye mahindi ya kanisa kama sio wezi nyie. Si mpite kwingine. Hilo ni eneo lenu kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…