Wewe ndo huelewi, yaan huelewi hata chimbuko la Kanisa lako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
RC ni Rumi ilochangamka.
Iko hivi Yesu anazaliwa wakati Rumi ikitawala.
Na Wakati huo hakukua na Dini zaidi ya Dini mbili tu...
Wayahudi na Dini alokuja kuianzisha Yesu iloitwa ( UKRISTO).
RUMI hii( ya Kipagan ilikua ikiabudi miungu na kuabudu jumapili kama siku ya Jua yaan mungu Jua) ikipambana na kuua sana watu walokua wafuasi wa Yesu, kuua wanafunzi wa Yesu n.k ,ikafikia wakati wakasema, Hawa watu kadiri tunavyowaua, ndivo wanazida kuongezeka .
Kwanini Sasa tusiwavute kwetu,,, Ndioo Kwa mara ya kwanzaz Mfalme Constantine anajitangaza yeye kama yeye kua Mkristo ili awavutie wale wakristo wa kweli ...nahapa ndipo RC ikaanza kama RUMI YA SERIKALI, NA RUMI YA KIDINI.
hata hivo hiyo haikus kikwazo Kwa wakristo wa kweli, wao wakaendelea kupinga huduma za kidini za Rumi Mpya ya kikristo .
Ndio kikaingia Kipindi Cha zama za giza, maana Rumi Mpya, iliwaona Hawa wakristo wakweli kama kichomi nahivo wakaanza kuwaua sana Hawa wakristo.
Waliua sana sana mamilion Kwa mamilion ,Rumi ikahakikisha inapoteza Biblia ,ilikua kosa kukutwa Biblia n.k
Hatimaye Mfalme Napolione anaivamia Italia na kumkamata Papa Pius wa 6 na kurudi naye kifungon Ufaransa nampaka alipokua 1798.
Ukirsto ukazidi kuenea Kwa Kasi huku, Rumi Ile ya Kipagan iliamua kua na UKRISTO mdan yake , nayo licha ya kua papa wao kauwawa ,wale wafuasi wao waliendelea na harakari zao pia.
RASIMI, BAADA YA VITA YA KWANZA YA DUNIA, KWAKUA MUSOLIN ALISAIDIWA NA MAJESHI NA WASHIRIKA WA RUMI MPYA, BASI AKAWARUDISHIA RASIMI NAFASI YAO, NA MJI WAO WA VATICAN, NA RUMI IKAINUKA UPYA KAMA KANISA NAKAMA NCHI.
Nawatia Moyo, fatilieni historian !!!
Rumi hiyohiyo kupitia Musolin wa Italia baada ya vita kuu ya kwanza kuisha, Musolin anaingia mkataba na Rumi na kuwapa Ukuu wao upya !!!