DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna kasehemu tu kadogo ka kanisa kalikuwa kana shida, diocese ya mainz ujerumani, Martin luther ndio hapo akamind mpaka akaasi kanisa na kuleta taharuki mpaka leo.
 
Kila mada ikigusa Kanisa Katoliki sijui mnatokeaga wapi na vijihistoria vyenu vya uongo. Changia mada acha kurukia usiyojua.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Bora ukae kimya kuliko shuhudia mambo yauongo. Hii plan ilitengenezwa na watu wana akili sana kwenye kisiwa fulani. Ila ukweli utaonyesha yote
 
Ndiyo kanisa hilohilo mlevi muumini alipovunja na kuiba?rejea 👇

 


Subiri, wewe na wenzako ni suala la muda tu, mnaingia stoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…