Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale kwenye redio yake ya unafiki kutoa milioni moja moja kwa watangazaji wake ili kutimiza ahadi.
Hata hivyo alikuwa anajaribu kunogesha na kuwaaminisha mashabiki na wanachama kuwa yeye ana ushawishi kuliko Ally Kamwe.
Kimsingi hakuja na jipya, watu wanamwelewa sana Ally Kamwe kuliko yeye.Yeye haaminiki kabisa kabisa ingawa yuko hapo kwa ajili ya GSM ambao ndio wanamfanya yeye na Zaylisa waende chooni.
Pamoja na kuwa siku hiyo kutakuwa na washambenga wenzake akina Kitenge na Zembwela lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa wanayanga pamoja na kuwa sasa hivi ni kama 'wameolewa' na mdhamini kutokana na kukosa nguvu ya kumpinga kunakosababishwa na matokeo uwanjani na usajili wanaoufanya tofauti na msomi Magoma Shaaban bado wanayanga wanavutiwa sana na Ally Kamwe.
Siku ya mwananchi watu wamepanga kushika mabango kuuomba uongozi waendelee na Ally Kamwe, huyo Manara akaisemee GSM.