Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa sana, Ila napata lawama sana kutoka kwa watu wanaonipenda..