Nina zaidi ya miaka kumi tangu niache uraibu wa pombe, kuacha pombe hakuhitaji dawa wala any tricks, ni unafanya maamuzi magumu na uwe tayari kupambana na kila hali itakayoibuka, ikiwemo reactions za mwili, kutokupata usingizi na mateso mengine kwa miezi kama mitatu hivi.
Vijisababu vya unywaji wa pombe huwa vingi ikiwemo hiyo ya eti kusaka utulivu, ila deep inside yourself you know the truth.
Pombe ni shetani kabisa, huwa nashangaa dini zinazosema namna watalewa sana kule peponi huku wakigegeda mabikira, hayo ni mafundisho ya kishetani kabisa.
Pokeeni wokovu muache huo utumwa wa pombe.