Upo wapi kwa sasa, kwanini upo hapo ulipo kwa kipindi hiki

Usitusi Gen z mkuu, wanaweza kosa busara kweli ila tukubali wana upeo mkubwa kuliko wazee wengi na busara zenu zisizo na impact.
Huko ni kunitukana sasa kwamba sina busara na uzee wangu huu so kweli
 
Blaza inatakiwa ufungue shule kabisa.. Wewe ni laprofeseli.
 
Blaza inatakiwa ufungue shule kabisa.. Wewe ni laprofeseli.
Huwa napita tu mkuu kuosha macho, Juzi usiku napita hapa Buguruni kama unaelekea Hizi gorofa sijui wanasema za Polisi, ananiita bibie anasema akanipe mpalange Kwa aftano πŸ™„
Nikamwambia Kwa kuzuga "mbona Sasa Hela nyingi" akauliza kwani una bei Gani, maana ukinipa aftano natoa buku namlipa mlinzi mimi nabaki na afnne.
Ikabidi tu nicheke kimoyomoyo 🀣 akanipe mpalange Kwa aftano nikamuonea huruma tu ikabidi nimpe buku ilikuwa mfuko wa shati nikapita hivi.
 
Niko Kijiwe Samli hapa Buza nasubiria Giza liingie nikazichape mbususu za bei ya jioni afmbilimbili tu unapata 9uma.
Maandamano yanakuja wanafosi wapate chochote kitu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wa vijijini hamjaenda na bando mtuambie hali ikoje huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…