Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

Nipo home, napiga story mbili tatu na wazee wangu, baba na mama
 
geto nimetulia tu toka nimeamka asubuhi sijatoka nje nmkula kiporo cha jana apa mchawi bundle tu nitukane uvccm na chadema na mondi na kiba niondoe stress[emoji1787][emoji1787]
Kikubwa huvunji sheria ni hak yako kutoa maoni
 
Nimetulia zangu home nashushia wine taratibuu... huku naangalia tv shows mbalimbali [emoji1635][emoji1635] , ila tuache utani maisha mafupi sana tusiache kujipenda na kukumbuka kuishi...
Wakujipa furaha mwenyew,hakuna atakaekupa furaha,pamoja mkuuu
 
Back
Top Bottom