Upo wapi time hii..!??

Kitandani!!! Narudia series ya "chuck" pembeni kuna chuoa yangu ya maji ya kunywa saafi!
 
Nipo gero nimejilaza tu kitandani panga boi linapepea kama chinook la US Marines
 
Hivi hua unapendelee majukwaa gani jooh au naww mwana siasa
hakuna jukwaa nisiloingia except GT ni la dini plus lile la premium kama sijakosea ila nachangia habari inayonivutia ila kuna mengine napita hata wiki mwezi sijayagusa
 
hakuna jukwaa nisiloingia except GT ni la dini plus lile la premium kama sijakosea ila nachangia habari inayonivutia ila kuna mengine napita hata wiki mwezi sijayagusa
Ohooo mm kuna mengine mengi sana ambayo sijawahi kuweka mwandiki wangu eg sheria. Yale English ndio sijui hara wanaongelea nn
 
Ohooo mm kuna mengine mengi sana ambayo sijawahi kuweka mwandiki wangu eg sheria. Yale English ndio sijui hara wanaongelea nn
hahahaha halafu kuna yale ki east africa pia nayapotezeaga tatizo kikristo kingi halafu dzain kama yamedorora hivi

views 1345 comments 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…