Upo wapi time hii..!??

Upo wapi time hii..!??

Mtengwa II

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
860
Reaction score
1,421
Tambua walipo wenzio time hii na wanafanya nini...!! Mi niko hapa gwasa napata tangawiz time hii!! Upo wap wewe..........
 
wakuu, mimi nipo kanisani kwenye maombi nilikuwa nipo deep nanena kwa lugha lakin ghafla jf imenitoa kwenye upako
 
Huwezi amini tuko hapa na Bashite tunajadili jinsi ya kumpindua gwajima
 
Back
Top Bottom