Upo zako club...

Upo zako club...

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Upo club unadance peke yako mdogomdogo..

Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe" mwanaume huna kitu kwa M pesa wala tigopesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima....

Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo?
 
[emoji1] [emoji1]

dah .....

Hapo jasho lazma likutoke
 
Back
Top Bottom