Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

1) Mambo ambayo yapo kwenye vyombo vya sheria Padre makini hawezi kusema chochote. (2) Watu tunaruhusiwa kuwa na mitazamo tofauti, lakini pale ambapo kuna maonezi au kasoro za wazi wazi - Binadamu anatarajiwa kuonyesha huruma,upendo na kupiga kelele ili kasoro hizo ziondolewe. Hapo hakuna upofu ila ni ubi nadamu na uzalendo umetawala.
 
Ngoja akusomee albadri ufe
 

Ukipata nafasi nenda kamuhoji tupate majibu.
 

Uzuri kila hoja uliyoiweka kanisa RC halikuwahi kuikingia kifua na sheria imechukua mkondo wake.
La wamasai ni utata mtupu na hakuna anayewasikia wala kuwajali na sasa vijiji vyao vimefutiliwa mbali rasmi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwani alikuwa anaongea maovu yote au alijibu kile alichoulizwa? Watanzania wengi wenu IQ ndogo sana
 
Kila jambo lipe nafasi yake!! Usipende kupoteza haki ya mtu Kwa sababu kuna NYINGINE haijafuatiliwa.

Katika matukio yote mawili hakuna hata Moja ambalo Fr Kitima kahusika.

Lile ambalo unaona hajalizungumzia lizungumzie wewe.

Pimbi wa Kisasa wewe
 
Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe

Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Usiwaze kwa mtazamo mdogo hivyo halafu ukafunguka hadharani, watu watajua kiwango chako cha elimu. Better to remain silent and be thought a fool than to speak and to remove all doubt
 
Umeuliza kisayansi kweli,na majibu yanatakiwa yawe kisayansi ila wajamaa watakujibu kidini
 
Wewe mwandishi ndiye kipofu
 
Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe

Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Hoja yako ni ya kipumbavu sana. Kanisa haliendeshwi kwa sadaka peke yake. Mjinga mkubwa wewe. Huoni yanayotokea Ngorongoro Loliondo na kule Hai Zuzu wewe.
 
Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe

Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Hauna akili, Kanisa Katoliki limetapakaa Tanzania yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…