Claude Henry
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 323
- 350
1) Mambo ambayo yapo kwenye vyombo vya sheria Padre makini hawezi kusema chochote. (2) Watu tunaruhusiwa kuwa na mitazamo tofauti, lakini pale ambapo kuna maonezi au kasoro za wazi wazi - Binadamu anatarajiwa kuonyesha huruma,upendo na kupiga kelele ili kasoro hizo ziondolewe. Hapo hakuna upofu ila ni ubi nadamu na uzalendo umetawala.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔