Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
SOMA HII TAARIFA uelewe kama Dr. Kitima ni kipofu yeye au wewe. Upofu huo ni upofu wa akili, ubongo. Wewe ni kapuku tu.

Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;

Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.

Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.

Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.

Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
 
TATIZO NI KUONESHA MLENGO WA KIPINZANI AMBAO HAUNA VIASHIRIA VYA UPATANISHO KAMA MAAGIZO YA KRISTO YANAVYOTAKA NA KWAKUWA ANAWAFUASI WENGI BASI NDIYO HIVYO LAKINI KANISA LINA CHANGAMOTO NYINGI AMBAZO KWA KUVU ALIYONAYO ANGETOA KIPAU MBELE KWENYE MATATIZO YA NDANI YA DHEHEBU PIA KUNA HAMASA KUBWA MNO YA KUPINGA KILA KITU MPAKA WAMEANZA KUPINGA HATA UWEPO WA HUYU MUNGU WETU. TUKIWAWEKA SAWA WATU WETU KUPITIA ELIMU KILA KITU KITAKWENDA SAWA TUSIWE WAKENYA TUBAKIE NJIA KUU.
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
kwahiyo hayo masuala uloyaibua ambayo yanashughulikiwa na Askofu mahalia wa jimbo husika, hayajafanyiwa kazi ama umeamua tu kutia huruma ili mwingine achukiwe?🐒

so,
unatamani baraza la maaskofu kukutana kila linapotokea tukio la mtumishi wa kanisa mahali, wakati kuna askofu muandamizi eneo husika 🐒

suala la ngorongoro ni la jumla waathirika ni specific ethnic group sio mtu binafsi ndio maana hata baraza la maaskofu linaweza kuketi chini na kuona kama ni sawa au sio sawa kinachoendelea huko....

baraza likikaa kimya, kesho inaweza kutokea kwa ethnic group nyingi na ikawa hatari zaidi, 🐒

so,
ni muhimu kuelewa vyema mambo haya....
 
Wewe ndiyo empty head kabisa. Kwa hiyo kwa sababu kuna Mapadri wachache waovu, ndiyo kumfanye huyo Padri Kitima asiyakemee maovu yenu!!
 
kwahiyo hayo masuala uloyaibua ambayo yanashughulikiwa na Askofu mahalia wa jimbo husika, hayajafanyiwa kazi ama umeamua tu kutia huruma ili mwingine achukiwe?🐒

so,
unatamani baraza la maaskofu kukutana kila linapotokea tukio la mtumishi wa kanisa mahali, wakati kuna askofu muandamizi eneo husika 🐒

suala la ngorongoro ni la jumla waathirika ni specific ethnic group sio mtu binafsi ndio maana hata baraza la maaskofu linaweza kuketi chini na kuona kama ni sawa au sio sawa kinachoendelea huko....

baraza likikaa kimya, kesho inaweza kutokea kwa ethnic group nyingi na ikawa hatari zaidi, 🐒

so,
ni muhimu kuelewa vyema mambo haya....
Comrade, Kuna mtu ameihack simu yako!! Au hufahamu kama aliyeiuza hiyo Wilaya yote kwa Waarabu ni mama yako kipenzi!
 
ni muhimu sana maeneo asilia ya hifadhi yakatunzwa vyema. na huko ngorongoro kanuni za kisheria na kikatiba zimechukuliwa vyema, ni vizuri eneo hilo likabaki wazi kadiri ya sheria inavyoelekeza...

na kifupi,
hicho ndicho kitakachotekelezwa na mamlaka husika bila mbambamba yoyote eneo hilo 🐒

raia wote wa ngorongoro wako msomera wanakula maisha. hayupo mvamizi ataruhusiwa kuharibu mazingira ngorongoro 🐒
 
Waislamu ngorongoro masai wapo ila sababu huwa wauslamu hawakusany9 sadaka misikitini ndio maana hujaskia Mufti akiongea .Katoliki waathirika wa sadaka nfio wanaongea
Mbona hii argument yako ya sadaka iko very low, ndio uwezo wako wa kuchakata mambo ulivyo?
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Huyo ni kampeni meneja wa CHADEMA Uchaguzi wa 2020 siku zote ni mzee wa pingapinga hawezi kuona hayo yanayolihusu kanisa anakimbilia kunyooshea kidole yanayotekelezwa na serikali.

Alitaka kutunishiana misuli na Rais SSH katika suala la uwekezaji wa DPW akagonga ukuta.
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Huyu jamaa hates establishments

Hata huko alipo ana ma bifu yake
 
Sasa unamleteaje kesi za Polisi?
Sisi tunataka watumishi wa Dini wenye ujasiri wa kukemea vitendo viovu vya Serikali bila kuona woga wala haya!
Dr.Kitima ni hazina kubwa kwa Taifa letu.
 
Aondoe kwanza boriti iliyo kwenye jicho lake kabla ya kusoma kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzake.
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino- Charles Kitima afanye nini hapa ikiwa padri tayari amekamatwa na polisi?

2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari- Wakatoliki hawana shida na Bar au kamari, kwao pombe au betting sio dhambi. Hao masista raia wa Hispania wameibwaje kufungua Bar? Ni wahadumu wa Bar ya padri? Hiyo Bar inaitwaje?

3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti- Huyo padri aliyelawiti hajakamatwa na polisi? Kama hajakamatwa upande wa waliolawitiwa wanasema Kanisa linamkingia huyo padri dhidi ya mkono wa sheria wa Jamuhuri

Elezeni mambo yanyooke kama suala la Wamasai kwa sababu sio wote hapa ni Wakatoliki au sio wengi wana habari za makanisa yote ya Kikatoliki nchi hii.
 
Sijaelewa unataka kipi kielezewe kinyooke?
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Na Mandojo kauwawa akiwa kaenda kusali kanisa Katoliki Dodoma, kauwawa na waumini na Padri.

Bila kusahau watoto wake aliowapata wakati akiwa Mkuu wa Chuo cha Saut. Kuna ma lecturer walilazimika kuacha kazi baada ya Father kutembea na wake zao waliokuwa wakifanya kazi hapo Saut
 
Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe

Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Kwa taarifa Yako pale ngorongoro ni walutheran wale na wengi wamekuwa walokole
 
Jibu hoja zake kwanza. Hayo mambo mengine Kanisa katoliki lina namna ya kuyasolve ndani ya majimbo yao.

Huyu ni katibu wa baraza maaskofu anawakilisha maaskofu Taifa.
Hayo ya mapadre individual ni ya maaskofu wa majimbo husika na wanajua jinsi ya kuyasolve.

Kanisa ni moja takatifu katoliki na mitumee
Hana hoja.
 
Back
Top Bottom