Upofu wangu hapo kale kuhusu baadhi ya mambo

Upofu wangu hapo kale kuhusu baadhi ya mambo

hahahahahahaha naona umenichoka mkuu, useme hata ile ya mkulima hatukuwa nayo sio? hahahahaha

haki umenichoka, wakati tulikuwa na redio kaseti kabisaaaa

teh teh
Hahahaa sijakuchoka muhenga wangu sema nyie nao mlikuwaga washamba sana
 
Back
Top Bottom