Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #41
Hahahaa sijakuchoka muhenga wangu sema nyie nao mlikuwaga washamba sanahahahahahahaha naona umenichoka mkuu, useme hata ile ya mkulima hatukuwa nayo sio? hahahahaha
haki umenichoka, wakati tulikuwa na redio kaseti kabisaaaa
teh teh