Upole wa Wasukuma unawaponza

Status
Not open for further replies.
Hivi kwa unavyofikiri hakuna kabila lenye washamba? Na ushamba unaoongelea hapa ni upi? Kila kabila lina washamba. Na kila kabila linakujitofautisha na makabila mengine. Iwe mchaga, iwe, Mnyakyusa, Mhaya na hata mndengereko, hawa wote ukiwa unaishi maeneo yao wana hali ya kutenga kutokana na uasili. Uwezi kwenda kwa makabila haya na mengineyo wakakubali upate ubunge au udiwani katika maeneo yao.

Nashukuru naifahamu Tanzania yote. ushamba huko kila sehemu. Uwezi sema wasukuma ni mwisho kushika madaraka, weye ni nani ambae utatoa hayo maamuzi?

Mwl Nyerere alishawahi kusema kabila kubwa la wasukuma si vizuri wakashika madaraka, na hata akawataja wachaga kwa ubinafsi walio nao. Lakini ikatokea Magufuli kashika madaraka hayo ambaye ni msukuma. Na nina amini ipo siku atatokea mchaga atakuwa Rais wa hii nchi. Kosa la mtu mmoja aliwezi hukumu jamii nzima.

Ila fahamu kwanza wasukuma ni wapole lakini ni wakali sana na wakorofi unapotaka kuingilia kile wao wanachokiamini. Na hawayumbi katika maamuzi yao, na siku zote ni watu wa haki. Nenda usukumani ambako bado wanashikilia mila zao za jadi na jeshi la sungusungu. Na niwachapa kazi haswa.

Swala la mifugo kuuwawa, uvuvi nyavu kuchomwa alijaanza wakati wa Magufuli. Limekuwepo kwa miaka kama unakumbuka Operation tokomeza, wakati wa Kikwete hadi ikaleteleza baadhi ya mawaziri kuachia nafasi. Watu waliteswa na kuuwawa.

Nimeishi usukumani nikafanya kazi huko mikoa yote ya kanda ya ziwa na wilaya zake. Hivyo naijua uzuri Sukumaland.
 
Acha uongo we Sukuma gang. Mmeumia nyinyi mliyokuwa mnafaidika na utawala wa kikatili wa Magufuli. Watanzania wanafuraha.
Wewe mwenyewe ni munufuaika ussiye kuwa na shukurani. Jitafakari sana.

Wakati umeme ukifikishwa hadi kwa bibi yako huko kijijini.
 
Hii nchi inapoelekea ni kubaya sana tutakuwa na vita vya kikabila kama kule Rwanda. Hizi chokochoko za kikabila naziona sana dhidi ya wasukuma.
 
Acha unafiki dhidi ya wasukuma maku wewe, unajifanya unafanana na panya buku ambaye anauma na kupuliza. Mara wasukuma washamba mara oh wabinafsi mara wanadharau hapo hapo unasema wasukuma hawapo hivyo sijui wanajielewa mara wasukuma wapo chadema mother fuc##
 
Aliyekufa ni kiongozi wa nchi siyo kiongozi mkuu wa wasukuma.

Wewe ndiyo unaleta ukabila.
 
Alishatangulia
 
Tuwe makini na hizi chanjo za Corona, Mbowe anatupa mashaka. Za kuambiwa changanya na zako.
POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.

Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum)

Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/=

-Mwezi April ilikuwa balaa.

Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/=

Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/=

-Tarehe 30 April nayo ilikuwa balaa

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,900,000/= (kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira)

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 14,400,000/=
(siku ya wanawake)

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,000,000/=

Mei mosi siku ambayo sio ya kazi.

Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi asubuhi Shilingi 184,100,000/=

Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi Mchana Shilingi 264,000,000/=

Tarehe 03/05/2021 Shilingi 146,500,000/=
(Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 [emoji3])

Siku hiyo hiyo tena Shilingi 171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)

#WeMissYouJPM.
#Tunakukumbuka JPM.
 
Umepotosha kuhusu ukabila mkuu ingekuwa hivyo hakuna mtu wa kabila jingine angefanikiwa huko kwa wasukuma maana ni wengi na wana umoja.

Ni rahisi mchaga kufanikiwa usukumani kuliko msukuma kufanikiwa huko uchagani.

Unapotosha kwa faida ya nani ?
 
Warundi waliojificha kwenye Usukuma.. SUKUMA GANG wakianza fyokofyoko tunarudisha wote kwao Burundi.
Hivi utengano , chuki na visasi alivyotufanyia Mwendawazimu na wa WAHUTU Wenzake mnaojiita wasukuma , tunaanzaje kusahau na kukaa kimya. Never...!
 
Hakuna kabila hata 1 Tanzania ambalo pekee yake lina uwezo wa kuamua nani awe Rais. Wasukuma ni less than 10% ya population ya Tanzania. Sioni ni kwa namna gani, wakiungana, pekee yao waamue nani awe Rais.

Marehemu, kwa kipimo chochote cha uongozi, alikuwa kiongozi mbaya. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wasukuma ni vuongozi wabaya (kwanza yunajua kuwa marehemu hakina msukuma kiasili).
 
Wasukuma wako zaidi ya 30% sema hawajawahi kujitapa tu.

Sasa hizi choko sio nzuri. Zinaweza ondoa uvumilivu.
 
Kalale wewe. Mara washamba Mara wajanja. Hizo sofa zote za wasukuma?

Mwambie Mbowe anaharibu usitawi wa nchi na Chama chake.
kabisa wasukuma hawana sofa, kinehe bhabha olyaga mapalage?
 
Kalale wewe. Mara washamba Mara wajanja. Hizo sofa zote za wasukuma?

Mwambie Mbowe anaharibu usitawi wa nchi na Chama chake.
Nyerere aliona mbali sana hakutaka rais atoke makabila makubwa.na ndiyo upuuzi Kama wako huu unatokea kuwaza ukabila.Pumbavu kabisa
 
Kwani mwendazake alikuwa msukuma? Hakuna msukuma mwenye roho ya ukatili aina ile.

Kwa taarifa yako alikuwa mhutu wa kuzaliwa rejea posts za mangekimambi).
Wazazi wote wawili walikuwa watusi wa Burundi. Yeye alizaliwa Sengerema, tarafa ya Bugando. Baba yake alikuwa katili sana, wenyeji ambao ni wasukuma, walimwita Magufooli kwa sanabu alipenda sana kesi zilipelekea baadhi ya wenyeji kufungwa. Baba yake alipofariki, wenyeji walifurahia sana. Babu yake, pamoja na wanawe wawili waliamua kuhama na kuelekea Biharamuko, kwa sababu walichukiwa na wwnyeji.

Biharamuko, mama alimpata baba wa kambo, kabila alikuwa mzinza. Kazi yake uwindaji na uchomaji mkaa. Akiwa na baba wa kambo wakahamia maeneo ya chattle ili kuwa karibu na eneo la uwindaji, msitu wa Burigi. Baba wadogo na babu baadaye walihamia Bukoba. Babu, mzee Machalila akafia pale. Baba wadogo, wote wawili ni hai lakini wana matatizo ya akili.
 
UPUMBAVU.

Unadhani ukiigawa tz ya wasukuma na ya watu wengine watakaoumia ni wengine?

Fikiri tu kanda ya kaskazini ilivyo, bandari Tanga, uwanja Kilimanjaro, mbuga za wanyama, kambi za jeshi n.k. Huko kaskazini tu wamejitosheleza kukaa peke yao kama ikitokea upumbavu raia wote wa kaskazini wakaitwa kuijenga kaskazini.

Tanzania ni Tanzania tukiachana na mawazo ya kabila bora sijui kabila kubwa. Tuache Upumbavu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…