Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Kamati ya maprofesa wanajiolojia na wanauchumi walipelekeshwa wakasema tunawadai mabeberu trilions tukapewa ahadi ya kila mmoja kupata Noah😁Kwani kuna taaluma isiyopelekeshwa na wanasiasa?ipi? Haipo..
Watakuwaje professionals akili zenyewe hizi 👇Nijuavyo mimi ma professional wakweli hawatakagi kupangiwa na wanasiasa hasa kama kinachopangwa ni kinyume na taaluma yao.
Kwanini polisi wakiambiwa kamata wanakamata kweli wakati wanajua wazi kuwa ni kinyume na maadili ya kazi yao? Ilibidi Mkuu wa Wilaya akiamuru kamata huyu weka ndani, askari aseme sikamati mpaka nijue kosa lake.
Halafu baada ya hapo uongozi wa polisi unafanya press conference kulaani wateule wanao jichukulia sheria mkononi na kuwapnya kuwa wakirudia watatiwa nguvuni.
Mwisho wa ndoto.
Mambo yake inajua yenyewe
Kwanza tunapaswa kujua kuwa;Nijuavyo mimi ma professional wakweli hawatakagi kupangiwa na wanasiasa hasa kama kinachopangwa ni kinyume na taaluma yao.