Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Sijui Kama haja badilisha I'd🤔🙄We moyoooo we moyooo weeeee.... spidernyoka tuma salama kwa mvunja moyooo mmoja 🤧🤧🤧🤧🤧
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Kama haja badilisha I'd🤔🙄We moyoooo we moyooo weeeee.... spidernyoka tuma salama kwa mvunja moyooo mmoja 🤧🤧🤧🤧🤧
Ukoo Mmoja hao.Dah mbona Kama una msema mshamba_hachekwi 🤔🙄
Punguza sifa mdau🤔View attachment 2696574
Aaah weeeh.
Nasikia Wana master party🙄🤪Ukoo Mmoja hao.
Ukoo wa Panya.
😅😅😅😅... picha zangu watoaaa wapii weyeee... moyo bado unavuja oil pamoja na coolant... gari haitembeiView attachment 2696574
Aaah weeeh.
Mbona haifunguki yote🙄😁😅😅😅😅... picha zangu watoaaa wapii weyeee... moyo bado unavuja oil pamoja na coolant... gari haitembeiView attachment 2696576
akilainika naendaaa kuya makao makuu ya Tai 😅😅😅Aaliyyah Ani hurumie tu😪
moyo hauna nguvu 😅😅😅Mbona haifunguki yote🙄😁
Dah kukataliwa SI mcheze😁, watu hawataki kufunguka mioyo yao😪akilainika naendaaa kuya makao makuu ya Tai 😅😅😅
Umechoka mpaka mishipa Ina pump ubuyu😁moyo hauna nguvu 😅😅😅
Kama Dingi yupo Mbane kisawa sawa aseme ukweli.😅😅😅😅... picha zangu watoaaa wapii weyeee... moyo bado unavuja oil pamoja na coolant... gari haitembeiView attachment 2696576
Natuma salam kwa Leejay49We moyoooo we moyooo weeeee.... spidernyoka tuma salama kwa mvunja moyooo mmoja 🤧🤧🤧🤧🤧
😅😅😅😅 hadi tufeee ndio waje jilizaaDah kukataliwa SI mcheze😁, watu hawataki kufunguka mioyo yao😪
Yaani Bora ujibiwe, kuliko kuangalia kana sanamu😪Kama Dingi yupo Mbane kisawa sawa aseme ukweli.
ayaaaaaaaaaa 😅😅😅😅😅😅😅😅Natuma salam kwa Leejay49
Mi sijawai kataa mtu😁🤪😅😅😅😅 hadi tufeee ndio waje jilizaa
Afu ukute anaekudharau ana Miguu Kama William Gallas Sura Suma JKT.Yaani Bora ujibiwe, kuliko kuangalia kana sanamu😪