kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (afrika)na sio mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wote wa kiafrika,na ushindi wa SAMATA hauhusishi nguli wa soka afrika kama AUBEMAYANG,MOHAMED SALAH nk,