#COVID19 Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

That's too serious.....

Muda huu nimepita nyumba ya jirani nimekuta kundi la WANAWAKE wa ushirika wa kidini wanafanya kikao chao....nilipowapita nilisikia mwongoza kikao akifafanua kuhusu CHANJO YA UVIKO na uwepo wa "666" ndani yake....nilipunguza mwendo....Yule mwanamke kiongozi alikuwa anaongea kwa kujiamini kabisa kuwa SERIKALI inataka KUWAFANYA mateka wa shetani huyo.....daah it's havoc kwa kweli......

Brainwashing yao si ya kitoto.....

Umetupa ushauri kuntu kabisa.....
Mungu atusaidie! Tumefanywa wajinga pakubwa
 
Majukwa yanatawala pro chanjo tu, anti chanjo wamepotea, Sasa kama chanjo ni hiari ya nini kuparurana kati ya wanaochanjwa na wasiochanjwa? Au ni kutaka sifa tu kuwa wamechanjwa wengi covax wafurahi? Kama waliaminishwa tangawizi na malimao yana kinga tatizo liko wapi? Hiyo chanjo watachanja tu kadiri ya muda unavyoenda na hali ya maambukizi itakavyokuwa
 
Binafsi nakumbuka suala la chanjo kupingwa lilikuwepo tangu zamani! Sijajua kwa wenzangu!

Suala hili tunaliona kama dogo lakini inahitajika elimu ya kina kuhusu chanjo hii, na NAWASHANGAA SANA MNAOWAONA WANANCHI KAMA WAJINGA KWENYE HII CHANJO.

Tulitumia muda mwingi kuwaambia hazifai lakini leo tunawaambia zinafaa then tunataka watuelewe? Hebu tuwe serious, tunapaswa tuwaeleza kikichotukia kipindi hicho na sasa ndio itawafanya kuelewa chanjo. Tusiwabeze, tunapaswa kuwapa elimu kama Naibu waziri wa Afya alivyofafanua juzi kuwa ni kuwapa darasa tu na si kuwaona kama wanapinga!!

HII ISHU YA KUCHANJWA SI TU INAGOMEWA VIJIJINI HATA MJINI HAPA, NILISIKIA HABARI PIA JUZI SHULE MOJA WANAFUNZI WAMEKIMBIA SHULE BAADA YA KUONA GARI YA AMBULANCE HUKO.MKOA WA MANYARA KAMA SIKOSEI!

Tupeane elimu na si kubezana!! Tuambiwe authenticity ya msimamo wa wataalamu wetu hapo mwanzo na Sasa!!
 
Pole sana Mkuu.
Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious.

Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani.

Nilikua na kijana ambaye ndio aliyekua Mwenyeji wangu kwa eneo lile. Yule kijana alinipokea bag langu ambalo lilikua na laptop, kikoi cha kimasai na documents kadhaa hivyo kulifanya lionekane kutuna.

Wakati tunaingia eneo la shule ile, ni shule ya msingi ilikua ni muda wa SAA NNE asubuhi ambapo walikua mapumziko. Niseme ukweli, sikujua kitu, kumbe watoto walikua wakitimua mbio wakidhani tumeenda shuleni "kuwachanja" chanjo ya COVID-19.

Mwalimu mmoja wa kike alianza kucheka na kutujulisha kuwa watoto wale walikua wanakimbia wakidhani tumeenda pale kwa ajili ya chanjo na kwamba inaonekana Wazazi wao wamewaonya watoto wao kutokukubali kupata chanjo kwa madai kwamba watakufa.

Niliingia ofisni kwa Mkuu wa shule na nilimweleza masikitiko yangu, hata hivyo Mwalimu wa zamu aligonga kengele na kuwakusanya tena maana walishakimbilia porini.

Wakati tunaondoka pale shuleni, nje kidogo ya shule kuna Wenyeji wa pale vijana na watu wazima walikua wakippakia mizigo (nadhani ni magunia ya maharage au mahindi) basi waliitana wakaanza kuturushia maneno ya dhihaka na kejeli huku wakitutisha kwamba, Ole wetu kama tungewapa chanjo watoto wao.

Kumbe walikua wakifuatilia tukio lile kwa mbali na walikua wakiongea kilugha.

Wito wangu kwa serikali, HII BRAINWASH ni kubwa sana na huenda ikaja kuleta madhara kwa wahudumu wetu wa afya, serikali iwaelimishe watu wake na WAPOTOSHAJI wachukuliwe hatua.

Hiki nilichoandika ni serious na ni tukio halisi
 
Unakuta mzee wa miaka 70 anasema wanataka kutuchanja ili kutuharibu vizazi tusizae,unaishia kushangaa mzee wa miaka 70 anawaza kuzaa,
Taaaabu sana
 
😆😆😆😆 Pole mkui,Jiwe aliharibu Sana hii nchi ,pole Sana mkuu..hao ni kuwaacha hivyo hivyo siku wakigongwa na Mdude wataitafuta tuu chanjo.

Na hii nchi ilivyojaa watu wajinga ni jambo la kusikitisha sana
 
That's too serious.....

Muda huu nimepita nyumba ya jirani nimekuta kundi la WANAWAKE wa ushirika wa kidini wanafanya kikao chao....nilipowapita nilisikia mwongoza kikao akifafanua kuhusu CHANJO YA UVIKO na uwepo wa "666" ndani yake....nilipunguza mwendo....Yule mwanamke kiongozi alikuwa anaongea kwa kujiamini kabisa kuwa SERIKALI inataka KUWAFANYA mateka wa shetani huyo.....daah it's havoc kwa kweli......

Brainwashing yao si ya kitoto.....

Umetupa ushauri kuntu kabisa.....
Awali walikuwa wanafundisha eti kuvaa barakoa ni kukosa imani kwa Mungu,
 
That's too serious.....

Muda huu nimepita nyumba ya jirani nimekuta kundi la WANAWAKE wa ushirika wa kidini wanafanya kikao chao....nilipowapita nilisikia mwongoza kikao akifafanua kuhusu CHANJO YA UVIKO na uwepo wa "666" ndani yake....nilipunguza mwendo....Yule mwanamke kiongozi alikuwa anaongea kwa kujiamini kabisa kuwa SERIKALI inataka KUWAFANYA mateka wa shetani huyo.....daah it's havoc kwa kweli......

Brainwashing yao si ya kitoto.....

Umetupa ushauri kuntu kabisa.....
😆😆😆😆😆😆 Yaani hii nchi inachekesha Sana,chanjo ya mzungu inaleta vituko ,dini ya mzungu inashadidiwa haaaaa
 
Kumbe hata ukichanjwa bado uwezekano wa kuambukizwa corona upo na barakoa utaendelea kuvaa...kwa hali kama hiyo umuhimu chanjo ni UPI? Bado haijangia akilini...tusiwe watu wakuletewa na kupokea kila kitu kunaumuhimu pia wa kuvifanyia tathmini..pia tusiwakejeli wenye maono tofauti na chanjo kilamtu na mtazamo wake na anahaki ya kutoa maoni yake.
Jipe muda wa kupata elimu ya chanjo ni nini,na inafanya nini,ubishi hautkufanya ujue kweli
 
Waziri wa Afya ilibidi ajiuzuru wadhifa wake....

Kwasababu zifuatazo

1. Yeye na jopo lake ndio waliuaminisha umma kuwa nyungu ndio tiba enzi za mwendazake

2. Huyo huyo leo anawaaminisha watu kuwa chanjo ni Bora kuliko nyungu

RAISI SAMIA TUONDOLEE WATU VIGEUGEU KWENYE IDARA ZAKO, Mnawapa mtihani watoa huduma za afya katika kuirejesha jamii kwenye mstari sahihi
Hapa ni kweli watu waliopinga njia za kisayansi inawezekana vipi leo wanadai chanjo ni sahihi? Hawa walipotosha watu
 
Back
Top Bottom