Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Iko mbioni....Kwani ukimwi wametoa chanjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko mbioni....Kwani ukimwi wametoa chanjo?
UmefurahiSafi sana!
Nadhani wote wangekaa kimya tuMajukwa yanatawala pro chanjo tu, anti chanjo wamepotea, Sasa kama chanjo ni hiari ya nini kuparurana kati ya wanaochanjwa na wasiochanjwa? Au ni kutaka sifa tu kuwa wamechanjwa wengi covax wafurahi? Kama waliaminishwa tangawizi na malimao yana kinga tatizo liko wapi? Hiyo chanjo watachanja tu kadiri ya muda unavyoenda na hali ya maambukizi itakavyokuwa