Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Acha kupotosha.Hakuna mkataba kama huo, otherwise wewe ni mkulima au mfanya biashara, unataka kudandia mada.
 
Kumtetea Magu ni kazi ngumu kuliko kukoroga zege.
Salary Slip Dkt Magufuli hahitaji kutetewa, kinachohitajika ni ufafanuzi tu mkuu. Tatizo lako na baadhi ya wapinzani wenye akili ka za Trump hamkubali kushindwa, kila kitu kwenu kibaya na hamfikirii positive badala yake kila kitu mnapinga.
 
Hao si wametoa nafasi za ajira,kwani ajira hutolewa nafasi inapokuwepo,au kuziba pengo.Au ndio kusema ajira zimekoma kabisa. Huyu aliejitafutia pa kujiajiri ametengeneza nafasi ya ajira kwa asiye nayo, au nasema uongo ndugu zangu.

Wewe ni msema kweli na mpenzi wa Mungu
 
Kwenye mshahara wa huyo dokta hakukatwi marejesho ya HELSB?
 
Kabla hujaandika utopolo wako inabd ujue kuw kuna wanaopokea loan na grant...kwa loan hamna masharti ya kufany kaz serikalini ila kwa grant ndio u are bound kufany kaz serikalin na hiyo pesa haurudishi.USIPOTOSHE
 
Sehemu zipi hizo za 5 years???

Je kuna kifungu cha sheria kinasema hospital binafsi ifungwe kwasababu tu dr amehamia hapo kutoka hospital ya taifa????
Unajua ninyi chadema mkiambiwa hamna Akili mnarusha povu. Hivi hamjui sheria za mikataba ya kazi kati ya mwajiri na mwajiriwa?

Unadhani Mh Rais ni mjinga kutoa Maagizo Yale?
 
usikute kama alikopeshwa hata mkopo alikuwa hajamaliza, wakifukunyua watapata makosa kibao. wamkamate tu.
 
Unajua ninyi chadema mkiambiwa hamna Akili mnarusha povu. Hivi hamjui sheria za mikataba ya kazi kati ya mwajiri na mwajiriwa?

Unadhani Mh Rais ni mjinga kutoa Maagizo Yale?

Mataga niwekee hapa kifungu cha sheria kinachoelekeza serikali kuifunga hospitali binafsi kwasababu tu imemuajiri dr aliyeacha kazi ktk hospital ya taifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…