Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.

Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.

Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.

Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?

Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Well said mkuu100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakosea sana tena narudia anakosea sana. Anamdhalilisha Mhe. Waziri wa Ujenzi na kutamka mbele ya hadhara NIMEKOSA MHE. RAIS NISAMEHE. Huu ni udhalilishaji uliopitiliza. Kumwita mtumishi mpumbavu kwanza unamkosea Mungu na pili siyo utawala bora na kipindi hiki ni kipindi cha kwaresima na yeye ni Mkatoliki. Binafsi kile kitendo kiliniuma sana tena Mhe. Rais raia namba moja wa Tanzania. Naomba ashauriwe na aweze kubadilika.
Kama kutengeneza culvert ya diversion imechukua wiki mbili huyo waziri alipaswa ajiuzulu. Ndio maana hata yeye ametambua kosa lake. Na ameonyesha ukomavu kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom