Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ansbert Ngurumo kaandika kitabu kinaitwa "John Magufuli: An Epitome of Cowardice". Kuna chapter inaitwa "His Fear of His Corrupt Past", kaelezea yote hayo.Hao wawili wa kwanza niliwahi kusoma taarifa zao kwenye gazeti la Rai halafu baadae lile la Raia Mwema.
Sasa huyu wa tatu, James Doto ndio yule Katibu mkuu wa hazina Doto James. Majina kama yako twisted hivi! Kwa mwenye kujua, please, atuambie.