Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Upumbavu zaidi ni pale unapoteua watu wapumbavu huku ukijua nkuwa ni wapumbavu ili kukusaidia kuteleleza majukumu yako.
Kwenye teuzi wengi alikuwa hawajui ngoja tuone awamu ya pili. Wengi wamemuangusha sanaa
 
... maamuzi ya ununuzi wa korosho kwa mfano, weledi ulitumika? Kwa context hiyo hiyo aliyeyafanya anastahili kuitwa mpumbavu pia?
Hapana hapa kulikuwa na nia nzuri ya kumlinda mkulima asipunjwe bei
 
google ktk kamusi ya kiswahili neno mpumbavu uone maana yake! Kwa ufupi mpumbavu hafundishiki!
 
Hapana hapa kulikuwa na nia nzuri ya kumlinda mkulima asipunjwe bei
... "nia nzuri' ilitakiwa iongozwe na weledi wa hali ya juu na wa kisomi (madegree kama unavyodai kwenye thread yako). Kama hivyo havikutumika, then mhusika anastahili kuitwa mpumbavu? Hata waliotengeneza daraja lililozolewa hawakuwa na nia mbaya kwamba mwisho wa siku lizolewe.
 
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.

Akiwa hajafurahiswhwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.

Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.

Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?

Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.

Na hata kutoa amri bila kufuata taratibu zilizopo nao ni upumbavu. Mkubwa akiamua kuwa atakacho yeye ndio sheria matokeo yake wadogo hawataweza kutumia weledi kwenye kazi zao hadi aje mkubwa kuwaelekeza.
Mkubwa katika mazingira haya ndie mpumbavu nambari wahed.
 
Kuwa Na madegree hakumaanishi wwe ni perfect na unajua kila kitu, matusi ni utokana na ubovu wa malezi wa muhusika. MTU aliyeelmika na kustaarabika huwa Na staha Kwa wote katu hawezi dhalilisha watu kisha ameshikilia unga wao.Maisha ni mzunguko anaowatukana Leo kesho ndio mabosi zake je nao wafanye Yale yaliyomkuta Manji? Kusoma sio kujua kila kitu ilipaswa awaelekeze nimeona hapa ni sahihi nao Kwa sababu hii wanaafikiana na sio akiona wanyonge wamemzunguka ndio mzuka wa matusi unapanda hata yeye binafsi inamshushia heshima Kwa jamii hata Kwa watoto tunaogopa kutazama TV watoto wa sasa wadadisi wanadadisi.
 
Kama amri zipi ambazo zipo kinyume na katiba na sheria? Ambazo zitawafanya wateule wawe wapumbavu? Au ulitaka uwe mshauri wake? Lakini katiba inasema atafanya kazi bila kuingiliwa na mtu.
 
Upumbavu ni tusi?
 
Kuna watu wa chini yake walifanya upumbavu...ushahidi unao
mimi sina ushahidi mwingine zaidi ya ule unaoonyesha dhahiri shahiri kuwa blunder imefanywa na aliye pale juu.

assuming anyway kuwa upo sahihi kwa narrative yako.... then ni sahihi pia kusema hata hao ambao yeye anawaita wapumbavu nao pia wana watu walio chini yao waliofanya huo upumbavu.
 
Hata wewe ni mpumbavu hutumii sense kufanya good judgement.
 
Vipi watu wengine wakimkumbusha pia kwa kutumia neno hilohilo mfano kwenye maamuzi yake kuhusu korosho msimu uliopita.

Mtu unaweza kueleweka vizuri tu pasipokutumia maneno ya kukera kama hayo.

Kama wewe unaweza kumwambia maneno hayo boss wako sawa
 
Kama amri zipi ambazo zipo kinyume na katiba na sheria? Ambazo zitawafanya wateule wawe wapumbavu? Au ulitaka uwe mshauri wake? Lakini katiba inasema atafanya kazi bila kuingiliwa na mtu.

Sihitaji wala sitaki kuwa mshauri wake. Kama hadi leo hujaona katiba inavyovunjwa basi hutaona hata iweje. Ni utashi wako kutoona.
The bottom line is; weledi unawezekana pale kunapokuwa na predicable working environment. Lakini sio pale mtu mmoja anajigeuza ndio mfumo.
 
Back
Top Bottom