Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Hao wawili wa kwanza niliwahi kusoma taarifa zao kwenye gazeti la Rai halafu baadae lile la Raia Mwema.
Sasa huyu wa tatu, James Doto ndio yule Katibu mkuu wa hazina Doto James. Majina kama yako twisted hivi! Kwa mwenye kujua, please, atuambie.
Ansbert Ngurumo kaandika kitabu kinaitwa "John Magufuli: An Epitome of Cowardice". Kuna chapter inaitwa "His Fear of His Corrupt Past", kaelezea yote hayo.
 
Any sane and rational person (in and out of this country) knows it. Kama hujaona hadi leo basi; you are beyond help. Endelea kumuimbia mapambio ya kumsifu.
Naongelea ukweli wa mambo yanayotokea hapa nchini.
 
Anakosea sana tena narudia anakosea sana. Anamdhalilisha Mhe. Waziri wa Ujenzi na kutamka mbele ya hadhara NIMEKOSA MHE. RAIS NISAMEHE. Huu ni udhalilishaji uliopitiliza. Kumwita mtumishi mpumbavu kwanza unamkosea Mungu na pili siyo utawala bora na kipindi hiki ni kipindi cha kwaresima na yeye ni Mkatoliki. Binafsi kile kitendo kiliniuma sana tena Mhe. Rais raia namba moja wa Tanzania. Naomba ashauriwe na aweze kubadilika.
 
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.

Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.

Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.

Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?

Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.

Kama hawatumii akili zao kutatua kero za Wananchi,

WALISTAHILI KUFUKUZWA KAZI.

USITAKE KUAMINISHA WATANZANIA KUWA NYEKUNDU NI SAWA NA NYEUPE.

NYEKUNDU NI NYEKUNDU TU NA NYEUPE NI NYEUPE TU.

PUMBAVU KWA MTU MZIMA KAMA Eng. Kamwelwe SI SAWA.
 
Pumbavu yaani kutokumia sense au intellegence kutatua tatizo ni kwa Eng vijana tu!
 
Kama NI Rika la watoto wake, aseme tu, dunia itajuwa aliwateua wakiwa bado wadogo wasioweza kutumia maarifa waliyopata shuleni mpaka chuoni.
 
Wewe mwenyewe mbona ni pumbavu aseme nini? Huna intelligence and capacity to judge good or bad
 
chagu wa malunde,
Hata yeye pia kuna maeneo mengi tu amefanya maamuzi ya kipumbavu so na yeye ni MPUMBAVU vilevile.

Mfano kubambikia watu kesi..mfano mwingine inakuwaje maabara ya kupima corona inakuwa moja tu nchi nzima..MPUMBAVU kabisa.

Neno FOOLISH kwa Kiswahili lina maana ya PUMBAVU ,JINGA au MTU ASIYE NA AKILI.
Hili Ni neno analipenda Sana kulitumia huyu Rais Magufuli. Tunaweza kusema SIYO tusi LAKINI NU NENO LA KUUDHI SANA hasa linapotumiwa na Mkuu wa nji kama Rais kumwambia Waziri au Kiongozi yeyote....!
Hii ni LUGHA YA KUUDHI au KUDHALILISHA MTU hasa inapolumikambele ya kadamnasi...!
This is a total DEFAMATION to anyone.

Ni AIBU kwa Rais kutumia maneno ya KUUDHI na KUDHALILISHA watu. Hata baba nyumbani akiwa kila Sasa anafoka na kutukana mke au watoto the're must something wrong with that father. Aidha aweza kuwa MLEVI, MVUTA BANGI au KUCHAA.
Rais Magufuli Yuko kwene category ya Aina hii!
 
Nina miaka 18 kazini, nafikiria siku boss wangu ataniambia Pumbaf mbele ya staff wenzangu...sijui itakuwaje...let me stop imagining 'cause it won't happen anyway!!
 
Tusioneane aibu, umepewa kazi nzuri unashinda kwenye kiyoyozi huendi site mambo yameharibika, hela ya walipa kodi inatumika vibaya; bosi wako akikuita 'mpumbavu' mjibu tu ASANTE.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sawa sie tunataka mpitishe ili sisi ndio maboss wa presidaa naye akikosea tukimwita hivyo ajibu asante sio kuleteana polisi na mashushu kwa mfano kwenye korosho na makinikia achilia mbali kununua ndege kwa cash. ndio ukakasi unapoanzia
 
Na wewe punguza chuki

Au na wenyewe wachukie kama unavyochukia wewe, maisha hayapo hivyo unavyotaka hata siku moja.

Usilazimishe kila mtu awe na chuki,kwani wewe ulivyoanza kumchukia kuna mtu alikufosi mkuu kuanza kumchukia?
Kwani tatizo nini mkuu ?
 
Kama hawatumii akili zao kutatua kero za Wananchi,

WALISTAHILI KUFUKUZWA KAZI.

USITAKE KUAMINISHA WATANZANIA KUWA NYEKUNDU NI SAWA NA NYEUPE.

NYEKUNDU NI NYEKUNDU TU NA NYEUPE NI NYEUPE TU.

PUMBAVU KWA MTU MZIMA KAMA Eng. Kamwelwe SI SAWA.
Utafukuza wangapi sasa, a good administrator afukuzi MTU,Mangapi kafeli je tumtumbue
 
Anakosea sana tena narudia anakosea sana. Anamdhalilisha Mhe. Waziri wa Ujenzi na kutamka mbele ya hadhara NIMEKOSA MHE. RAIS NISAMEHE. Huu ni udhalilishaji uliopitiliza. Kumwita mtumishi mpumbavu kwanza unamkosea Mungu na pili siyo utawala bora na kipindi hiki ni kipindi cha kwaresima na yeye ni Mkatoliki. Binafsi kile kitendo kiliniuma sana tena Mhe. Rais raia namba moja wa Tanzania. Naomba ashauriwe na aweze kubadilika.

Ni rahisi kwa nguruwe kuota mabawa na akaruka kama ndege kuliko huyo mtu kubadilika.
 
Nina miaka 18 kazini, nafikiria siku boss wangu ataniambia Pumbaf mbele ya staff wenzangu...sijui itakuwaje...let me stop imagining 'cause it won't happen anyway!!

Kwani huyo ‘mwenzako’ aliwahi hata kuimagine..!!
 
Nisawa tu! Hivi kama leo bado kuna mgao wa maji dar es salaam ndani ya gonjwa la corona huku tukishuhudia kila kona ya nchi hii kuna mafuriko ya maji hivi wakiambiwa wapumbavu nikosa
Mi naona nisawa.
Tujisahihishe.
 
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.

Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.

Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.

Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?

Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Mbona yeye akiambiwa tunae rais MPUMBAVU unakamtwa na kufungwa. Naomba unijibu kama siyo tusi kwake na kwa wengine je. Amewadhalilisha, na kama hao waandisi ni wapumbavu ni pmj na yy kwasababu yy ndie aliyewachagua WAPUMBAVU
 
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.

Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.

Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.

Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?

Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Rais ana maeneo mengi anayokosea,
He ni ruksa kumwita mpumbavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom