Epateletech
Member
- Jun 17, 2015
- 45
- 20
- Thread starter
- #61
limetokea tuJe tatizo hilo lilikuwa zamani?
Kama halikuwa basi ni tatizo la kisaikolojia, labda mambo fulan hayaend vizuri au tatzo la msongo wa mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
limetokea tuJe tatizo hilo lilikuwa zamani?
Kama halikuwa basi ni tatizo la kisaikolojia, labda mambo fulan hayaend vizuri au tatzo la msongo wa mawazo
Ahaahaha imebid nicheke kwanza et mwaka jana tu! Pole sana kijana mwenzang kwa tatzo lako, chukua tangawiz+ vtunguu swaumu twanga au saga utakavyo ona inafaa wew: weka maj kdogo sana ili viweze kukamlika, chukua juis ya uo mchanganyiko weka asali mbichi nayenyew Co nying sana changany vzr. Kunyw kijiko ki1 asubui na jioni. Fany mazoez kunywa maji mengi+ tikti maji na mbegu zake. Naamin ukifany ayo yote utakuw fiti mpk utajishangaa na lazma utaleta mrejesho hapa baada ya wiki mbili.mwaka jana tu
asante mkuuAhaahaha imebid nicheke kwanza et mwaka jana tu! Pole sana kijana mwenzang kwa tatzo lako, chukua tangawiz+ vtunguu swaumu twanga au saga utakavyo ona inafaa wew: weka maj kdogo sana ili viweze kukamlika, chukua juis ya uo mchanganyiko weka asali mbichi nayenyew Co nying sana changany vzr. Kunyw kijiko ki1 asubui na jioni. Fany mazoez kunywa maji mengi+ tikti maji na mbegu zake. Naamin ukifany ayo yote utakuw fiti mpk utajishangaa na lazma utaleta mrejesho hapa baada ya wiki mbili.
N.B Jenga kujiamin unapokuwa na mwenzako ukiwa na hofu lazma ushindwe kazi.
New bloom sweeps well but old one knows every corner!!.
Tatzo la kisaikolojia hilohaidindi vizuri pia nakipiga bao moja naishiwa
Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
Asee nmecheka mpk basidaa yote hayo anakuwa nayo mtu mmoja, asa si bora ukate kifanyio icho kuliko kuwa unatenda dhambi za ajabu
Mkuu wape msaada tu, wataelewa!!Wananiudhi mimi unakuta dume anakula chipsi kila siku, badae analalama ati hana nguvu wtf!
Tatizo wanapenda vitu vinono na mafuta kibao bila kusahau mayonnaise
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mchezo kuuacha mkuu inahitaji mamuzi magumu sana.Acha punyeto
Dawa ya nguvu za kiume Kwa jina inaitwa Vilirity Gold Pills aka (V-pILLS GOLD)Chupa 3 unatumia kila siku kidonge 1 asubuhi na kidonge 1 usiku kwa muda wamiezi 3 umepona nguvu zako za kiume. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa utaalam wa kisasa vidonge aka (Capsule) haina madhara kwa afya ya binadamu Ukihitaji Dawa nitafute kwa wakati wako.Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume