Upungufu wa nguvu za kiume

Upungufu wa nguvu za kiume

mwaka jana tu
Ahaahaha imebid nicheke kwanza et mwaka jana tu! Pole sana kijana mwenzang kwa tatzo lako, chukua tangawiz+ vtunguu swaumu twanga au saga utakavyo ona inafaa wew: weka maj kdogo sana ili viweze kukamlika, chukua juis ya uo mchanganyiko weka asali mbichi nayenyew Co nying sana changany vzr. Kunyw kijiko ki1 asubui na jioni. Fany mazoez kunywa maji mengi+ tikti maji na mbegu zake. Naamin ukifany ayo yote utakuw fiti mpk utajishangaa na lazma utaleta mrejesho hapa baada ya wiki mbili.

N.B Jenga kujiamin unapokuwa na mwenzako ukiwa na hofu lazma ushindwe kazi.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!.
 
Badilisha mashine huenda hiyo uliyonayo ni mbovu.Wanawake wengine wana mashine kubwa halafu zinapwaya sana unapokuwa ndani.Uume unaingia tu bila shida utafikiri umeingiza mkono kwenda ndani kusalimia!!.Hapo lazima mtanbo ugome tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaahaha imebid nicheke kwanza et mwaka jana tu! Pole sana kijana mwenzang kwa tatzo lako, chukua tangawiz+ vtunguu swaumu twanga au saga utakavyo ona inafaa wew: weka maj kdogo sana ili viweze kukamlika, chukua juis ya uo mchanganyiko weka asali mbichi nayenyew Co nying sana changany vzr. Kunyw kijiko ki1 asubui na jioni. Fany mazoez kunywa maji mengi+ tikti maji na mbegu zake. Naamin ukifany ayo yote utakuw fiti mpk utajishangaa na lazma utaleta mrejesho hapa baada ya wiki mbili.

N.B Jenga kujiamin unapokuwa na mwenzako ukiwa na hofu lazma ushindwe kazi.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!.
asante mkuu
 
Hujaeleweka kijana unaupungufu wa nguv kwa sekta ipi, kwamba hanithi, haidindi vizur, au ki1 chali, au huwez kumjaza mtu kibend ama nin, funguka tukusaidie boi..
 
haidindi vizuri pia nakipiga bao moja naishiwa
Tatzo la kisaikolojia hilo

1.Kula vyakula vinavyoongeza ashki ya kupiga viduku a.k.a libido ama genye..
2. Piga mazoez na maji ya kutosha
3.jiamin, saikolojia nayo ni tatzo saana.

Baada ya hayo yoote njoo ntakuelekeza zaid
 
Upungufu wa nguvu za kiume kwa vijana ni tatizo la Kisaikolojia.

Sukari Yenu
 
Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
Dawa ya nguvu za kiume Kwa jina inaitwa Vilirity Gold Pills aka (V-pILLS GOLD)Chupa 3 unatumia kila siku kidonge 1 asubuhi na kidonge 1 usiku kwa muda wamiezi 3 umepona nguvu zako za kiume. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa utaalam wa kisasa vidonge aka (Capsule) haina madhara kwa afya ya binadamu Ukihitaji Dawa nitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

V-PILLS.jpg
 
Back
Top Bottom