Upuuzi huu usiovumilika na uliovuka Kiwango unapatikana katika Soka la Tanzania tu duniani kote

Sijaelewa, hapo amekosea wapi huyo bwana mdogo Matola? Kosa lake ni lipi yaani?
 
wachezaji wako likizo hadi tarehe 22, kocha takuwa keshakuja shida nini? nadhani uongozi ni wajinga?hata huko alipo matola kuna wachezaji 6 wa simba
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Halafu Wachezaji kibao wa simba wapo huko aliko Matola.

Mpira sio kama vipindi vya darasani broo
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Sasa program gani za mazoezi na ameandika mwenyewe timu ipo likizo mpk trh 22 Mm yanga sio simba lkn Sometime wabongo tuache ujuaji sana.

Ndo mana wazee km kilomoni na yule babu wa marehemu wa yanga AKILIMARI walikuwa wanaharibu soka la hivi vilabu
Yaan timu yenye mamilioni ya mashabiki unataka iende unavyotaka wewe mtu 1.

Sasa Matola anaweza kwenda huko bira ruhusa ya uongozi wa juu? Vitu vingine muwe mnafikiliaga kwanza kabla ya kuandika
Hii inawaponza hata mashabiki wengne wa SIMBA waonekane vilaza

Nyie NYAU FC vipi banaaaa
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Ye mwenyewe kasema wachezaji wamepewa likizo kwa hiyo wako mapumziko. kama mpaka ijumaa ataona team wanafanya mazoezi wenyewe ndio angeleta huu Uzi. Viongozi wanatoa mamilioni kuendesha team sidhani wanaweza kuwa wazembe hivyo.
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
wachezaji wako likizo hadi tarehe 22, kocha takuwa keshakuja shida nini? nadhani uongozi ni wajinga?hata huko alipo matola kuna wachezaji 6 wa simba
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Ulichotakiwa kufahamu ni kwamba Matola ni kocha msaidizi wa Timu ya Taifa.

Alikuwa Zanzibar kwa ruhusa maalum kwenda kuisaidia Simba kwenye kombe la Mapinduzi baada ya kocha mkuu kusepa gafla.

Simba ina mapumziko hadi tar 22. Ungesubiri hadi tarehe hiyo ndio uporomoshe povu, labda ijumaa na yeye Matola atakuwa anarudi toka Cameroon
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Umemuuliza swali zuri, na mbona wachezaji wa hizo club wameenda timu za taifa. Tatizo la watanzania ni kujifanya wachambuzi kwa mambo ambayo hawana ujuzi nayo. Utakuta mtu anachambua mpira oooh na bla bla kibao ila ukimpa timu aifundishe au yeye acheze ni zeroo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
Sijaelewa, hapo amekosea wapi huyo bwana mdogo Matola? Kosa lake ni lipi yaani?
Rejea tena Hoja yangu ya Msingi hapo kisha angalia pale nilipokazia ninadhani utanielewa vyema na Kuondokana rasmi na Ujuha wako wa Kurithi.
 
popoma kwani ile I'd nyingine imepigwa ban Kwa mda gani
Bahati nzuri sijawahi kuona hapa JF Mtu akiitwa popoma wala kama kapigwa sijui ban ila ID ya All - Rounder ( alias ) Brainiac hii yangu hapa ipo tu.
 
Naomba msamaha kwa niaba yake
ha ha nacheka tu. mleta umetoa povu kama nini. sijui ni utopolo unakusumbua. Kocha wa AS VITA yupo huko na wanashiriki club bingwa. kujifanya tunajua kila kitu wakati ni zero.
 
Kocha mkuu wa Simba yupo njiani.
Mo alijua kuwa matola anaenda Cameron na hata tff walijua kuwa matola anakwenda Cameron .
Matola anafanya kuitwa tu je asiende?
Tuache ushabiki, kocha msaidizi yupo na wachezaji walio baki.
 
Kocha mkuu yupo njiani anakuja.
Hayo anayoyawaza wenzie waliyawaza mapema na kuyapatia majibu
Hamjamwelewa jamaa. Point yake ni kwamba Simba haina kocha mkuu hivyo kuondoka kwa Matola maanake kaiacha Simba ikiendesha programu za mazoezi pasipokuwepo kwa kocha iwe mkuu ama msaidizi. Hao Mazembe na As Vita, timu zimebakia na makocha wasaidizi
 
Kocha mkuu wa Simba yupo njiani.
Mo alijua kuwa matola anaenda Cameron na hata tff walijua kuwa matola anakwenda Cameron .
Matola anafanya kuitwa tu je asiende?
Mke wake Mo tunamjua je, Wewe ni Nje Cup yake au Kiherehere tu kinakusumbua labda unajitutumua hivi Kwake ili akufikirie uwe Mkewe wa Pili?
 
Back
Top Bottom