Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Akipokea posho zake huwa anageukaKuna muda hata saa mbovu inasemaga kweli! Hongera sana bwashee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipokea posho zake huwa anageukaKuna muda hata saa mbovu inasemaga kweli! Hongera sana bwashee
Mbona hata FB kuna watanzania wanafanya biashara za ngono na wateja wao ni watanzania?
Siku hizi mpaka kwenye majukwaa kuna lugha zisizo na maadili kulingana na mila zetu.
Zipo nyimbo nyingi za wasanii wa bongo haziendani na mila zetu lakini zinapigwa mpaka kwenye mikesha ya mwenge. Mikesha isiyoendana na maadili yetu . Na pia Mwenge sio maadili ya mwafrika na mila zetu ni mila za kigeni.
Mwenyezi Mungu alishusha aya kwa ajili ya Wanafiki .
Napendekeza Aya nzima inayohusu wanafiki iwekwe kwenye Katiba
Mashehe ubwabwa wanahubiri maadili ya ushoga, na ujingga kama huo, maadali ya HAKI, wizi serikalini, KUTEKA WATU, KUUA, KUBAMBIKIA KESI hayaongelei PUMBAVUWatu wanakesha Mitandaoni kutafuta Fursa na huko ndio wanakutana na mambo mazuri na mabaya.
Serikali itengeneze Ajira kwa Vijana hapatakuwepo tena hofu ya Ushoga.
Serikali iimarishe kilimo asilia hapakuwepo tena hofu ya Ushoga.
Serikali ijikite kwenye tafiti za Chanjo zetu kama Urusi na North Korea hapatakuwepo tena hofu ya Ushoga
Serikali iwafunge Mafisadi kwani Somola na Gomola Chanzo Cha kuteketezwa Kwake ni Ufisadi uliokithiri so wenye Fedha na Madaraka wakafanya starehe zote na mwisho wakafanya Ibada za Makafara ya Ubasha yaani kuingiliana kinyume Cha maumbile Ili kumtukuza Shetani
Jumatatu yako iwe ya Baraka!
John kuna wakati anaamua kujitenga na chawa😁Kuna muda hata saa mbovu inasemaga kweli! Hongera sana bwashee