Watu wanakesha Mitandaoni kutafuta Fursa na huko ndio wanakutana na mambo mazuri na mabaya.
Serikali itengeneze Ajira kwa Vijana hapatakuwepo tena hofu ya Ushoga.
Serikali iimarishe kilimo asilia hapakuwepo tena hofu ya Ushoga.
Serikali ijikite kwenye tafiti za Chanjo zetu kama Urusi na North Korea hapatakuwepo tena hofu ya Ushoga
Serikali iwafunge Mafisadi kwani Somola na Gomola Chanzo Cha kuteketezwa Kwake ni Ufisadi uliokithiri so wenye Fedha na Madaraka wakafanya starehe zote na mwisho wakafanya Ibada za Makafara ya Ubasha yaani kuingiliana kinyume Cha maumbile Ili kumtukuza Shetani
Jumatatu yako iwe ya Baraka!