Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Si mwenyewe alisema mkimpigia kura au msipompigia ana uhakika wa kushinda, au ?Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungungwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais anayekumbatia mafisadi tunaambiwa tayari ameshinda uchaguzi 2025?
Wamekunyima bk7 yako?Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungungwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais anayekumbatia mafisadi tunaambiwa tayari ameshinda uchaguzi 2025?
Hiyo asilimia themanini (80%) umeipata wapi mkuu?Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungungwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais anayekumbatia mafisadi tunaambiwa tayari ameshinda uchaguzi 2025?
Ha haa haa,nadhani hizo asilimia ni chache,zilipaswa kuwa 99.9 ,ni ukweli usiopingika kuwa mama hakamatiki,miundombinu,huduma za afya,maji kila kitongoji,nani kama mama,bado mimi mfanyakazi madaraja yanapanda kwa wakati,ndani ya miaka mitatu nimepanda madraja mawili chini ya Mama samia,nimetumika toka mkapa,kikwete na Magufuli haya mambo sikuwahi kuyaona.Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungungwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais anayekumbatia mafisadi tunaambiwa tayari ameshinda uchaguzi 2025?
Pongezi kwa mama ni katika awamu yake nyumba nyingi zaidi ya 700 zomevunjwa hapa Kibaha tu kiwanja namba 34 Mitamba na kuwaacha watu wakilala nje,hakuna fidia wala nini.Ha haa haa,nadhani hizo asilimia ni chache,zilipaswa kuwa 99.9 ,ni ukweli usiopingika kuwa mama hakamatiki,miundombinu,huduma za afya,maji kila kitongoji,nani kama mama,bado mimi mfanyakazi madaraja yanapanda kwa wakati,ndani ya miaka mitatu nimepanda madraja mawili chini ya Mama samia,nimetumika toka mkapa,kikwete na Magufuli haya mambo sikuwahi kuyaona.
Pongezi kwa Mama
Sasa si anazidisha na siku zakula bata na akina Lulu.Hakuna mkuu wa nchi anayefanya ziara nje ya nchi yake akakaa zaidi ya wiki. Ni kujishushia heshima, kwanza baada ya kukutana na mwenyeji wako unakutana na nani hizo siku zilizobaki?
CrapNi ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji..