Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

safari hii watoto wa Facebook mnatumaliza kwa ujinga wen
mambo ya kushabikia ujinga mnatuingiza na sisi
 
Haters wanafurahi ndo maana wakati anatoa cinderela alikuwa na bifu na duly Sykes ndo maana aka hit [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa hivi simba anamfanya awe juu middle finger #
 
Hizi habari za Instagram naona unaleta JF hayo jukwaa ni Instagram sio uku
 
Huu ni upumbavu najuta kufungua hii thread
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu

I once was assuming kuwa wanaoingia kwenye hizi social media na hasa websites kama JF ni wasomi, wameelimika, visionary, matured, n.k

I was wrong
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu

Mimi naomba kutoka njee ya mada mrembo. Hivi ni wewe La princesa naemjua mimi? yule bloga wa kizungu?
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu
Wivu mbaya
 
Akili zakuazima hizi. Wewe mleta mada ndo pumba kabisa
 
kile kijamaa ata nikiangalia picha zake kina onekana kina stress na roho mbayaaa, kibakuli
 
Kosa mademu Wa zamani Wa %D.Platrump2016 alowakazaga #Ali kiba sijui angekuwa wapi kenye Gemu.Na kama anajiamini kweli ye King aachane na akina Jokate na Wema Chepetu.Awe yeye ka y3y3 afu ashee na Mademu wengne tafauti na Joka la mzimu.
 
Nyie Ndio Akina Gigi Money Nyie.
Sasa Unabaki Kusema Inasemekana.
Hiyo Ni HearSay Yani Umbea. Hata Mahakamani Ushahidi Wa Hivyo Wa Kusema Inasemekana Haukubaliwi.
Sema Unachojua Wewe.
Kwanza Unajishtukia Mwenyewe.
Afu Source Ya Hizo Information Ni Wewe Mwenyewe Au??
 
Back
Top Bottom