demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo.
Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa.
Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona na kuukwepa huu mtego.
Klabu yeyote kubwa na yenye malengo makubwa haiwezi kutosheka na hatua ndogo ndogo ambazo wengi wanazi define kama maafanikio.
Anyways, yaweza kuwa mafanikio kwenye klabu yao lakini nina shukuru sio kipimo cha mafanikio kwa klabu yangu.
Sijawahi kuona Timu kubwa Barani afrika kama Club Africaine, Al Ahly, Us Monastir, Mamelody Sundowns, TP Mazembe au Wyday Casablanca zikiturahia upuuzi wa sijui klabu bora ya week au mchezaji bora wa week katika akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii.
Hii inaonyesha ni jinsi gani hizi klabu ni kubwa sana na zina malengo makubwa.
MAFANIKIO YA KLABU YEYOTE KUBWA NI TAJI, NA WALA SI VINGINEVYO.