Upuuzi wa CAF Usitupumbaze Wananchi, Tusiridhike Mapema

CAF ndio walioweka huo utaratibu, sasa iweje useme wanashangaa? Yaani CAF washangae kitu walichokiandaa wenyewe? [emoji16] Kweli huko wapo wawili tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu ni makali sana, wametumia fedha nyingi kuhonga wachambuzi ili kui-downgrade simba ionekane mbovu, matokeo yake kinacho tokea tena kwenye mashindano makubwa ya Cafcl ni kinyume chake na wanacho kisema.
 
Matatizo yooote haya wa kulaumiwa ni babra maana yeye ndio anawashawiahi caf waipendelee simba mbovu huuku wachezaji wa duniawa yanga hawafikiriwi hata kuitwa kwenye 100 bora.
 
Hapa ishu inayowaumiza uto sio washabiki kushangilia. Bali ni kuona majina ya wachezaji simba yakipigiwa chapuo kila leo. Mbaya zaidi hapa tz caf wakisikia kuna timu tz akili zao moja kwa moja zinawaelekeza simba, labda badae sana ndio wakumbushwe kwamba kuna wengine huko nyuma nao wapo wapo wanajitafuata
 
Yanga SC imeteuliwa kuwa best perfoming club mara 2.

Huwezi kuona shabiki wa Yanga SC anashadadia upuuzi kama huo.

Coz malengo ya klabu sio kuridhika na haja hiyo.
Nyie hamnazo kweli kweli..sasa unapovukwa nini kama hakikuumi au unaona hakina tija?? Yani kwa huo uchungu mpk mtajifungua vi simba vitoto..
 
Kuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo.

Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa.

Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona na kuukwepa huu mtego.

Klabu yeyote kubwa na yenye malengo makubwa haiwezi kutosheka na hatua ndogo ndogo ambazo wengi wanazi define kama maafanikio.

Anyways, yaweza kuwa mafanikio kwenye klabu yao lakini nina shukuru sio kipimo cha mafanikio kwa klabu yangu.

Sijawahi kuona Timu kubwa Barani afrika kama Club Africaine, Al Ahly, Us Monastir, Mamelody Sundowns, TP Mazembe au Wyday Casablanca zikiturahia upuuzi wa sijui klabu bora ya week au mchezaji bora wa week katika akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii.

Hii inaonyesha ni jinsi gani hizi klabu ni kubwa sana na zina malengo makubwa.

MAFANIKIO YA KLABU YEYOTE KUBWA NI TAJI, NA WALA SI VINGINEVYO.
Club African na monastir sio timu kubwa africa
 
Nakukumbusha tu kuwa malengo ya timu yako yalifeli vibaya pale iliposhindwa kuingia makundi ya Klabu bingwa. Kwa sasa timu yako inashiriki mashindano isiyojua inataka nini.
 
Wangepostiwa uto pale huu uzi usingekuwepo, nyie pilipili msiyoila yawawaishia nini, tupo makombe tofauti lakn hata player of the week tu inawauma tukilibeba kabsa maisha yenu si ndio yatakuwa magumu zaidi, omben na nyie mpostiwe kwenye kombe la maloser kule.
Yaan wananiacha hoi mie, khaaaaah.
 
Kuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo.

Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa.

Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona na kuukwepa huu mtego.

Klabu yeyote kubwa na yenye malengo makubwa haiwezi kutosheka na hatua ndogo ndogo ambazo wengi wanazi define kama maafanikio.

Anyways, yaweza kuwa mafanikio kwenye klabu yao lakini nina shukuru sio kipimo cha mafanikio kwa klabu yangu.

Sijawahi kuona Timu kubwa Barani afrika kama Club Africaine, Al Ahly, Us Monastir, Mamelody Sundowns, TP Mazembe au Wyday Casablanca zikiturahia upuuzi wa sijui klabu bora ya week au mchezaji bora wa week katika akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii.

Hii inaonyesha ni jinsi gani hizi klabu ni kubwa sana na zina malengo makubwa.

MAFANIKIO YA KLABU YEYOTE KUBWA NI TAJI, NA WALA SI VINGINEVYO.
Mambo yanabadili na ubunifu unaongezeka mkuu inawezekana kabisa haujawahi kuyaona huko nyuma sehemu yyte ila kwa sasa ndio yameanza na bahati nzuri na siye tumo.
 
Ata ao CAF wanatushangaaa Kwa kushangilia vitu vya ki puuzi. Hakuna klabu yoyote kubwa Africa ikashangilia parfonance ya wachezaji au timu ya wiki /mwezi.Timu kubwa hazina Cha kuwaambia mashabiki zaidi ya Mataji.
Utopolooo kwa makasiriko jaman hamjambooo, mbna mnaumia na visivyo wahusu.

Poleeeeeni sanaaa.
 
Ata ao CAF wanatushangaaa Kwa kushangilia vitu vya ki puuzi. Hakuna klabu yoyote kubwa Africa ikashangilia parfonance ya wachezaji au timu ya wiki /mwezi.Timu kubwa hazina Cha kuwaambia mashabiki zaidi ya Mataji.
Tanzania wapumbavu wanaongezeka yaani CAF waandae kikosi Bora,mchezaji Bora waanze kushangaa wachezaji waliowachagua au kuchaguliwa Kwa kura za mashabiki kushangiliwa?Ushauri wa Bure,Kula mlo kamili akili itaongezeka TU.
 
Back
Top Bottom