Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"KOKOMO"Yanga Kwa kule iliko Ina nafasi ya kutwaa ubingwa sijaona Timu ya kuizidi kule ila Kwa Simba safari Yao imefikia Kokomo labda bahati itokee.
Ata ao CAF wanatushangaaa Kwa kushangilia vitu vya ki puuzi. Hakuna klabu yoyote kubwa Africa ikashangilia parfonance ya wachezaji au timu ya wiki /mwezi.Timu kubwa hazina Cha kuwaambia mashabiki zaidi ya Mataji.
Kikomo"KOKOMO"
Hapo ni kuridhika mkuu? Kama ulishawahi pata clip ya Mo akielezea kwanini kawekeza Simba wala usingeleta huu uzi, pili kuhusu try again kuhimiza watu kupiga kura labda mchezaji anapata chochote au anajua wakija kumuuza dau linakuwa refuHadi Try Again ametweet kuwahimiza mkapige kura kuleta heshima msimbazi.
CAF ndio walioweka huo utaratibu, sasa iweje useme wanashangaa? Yaani CAF washangae kitu walichokiandaa wenyewe? 😁 Kweli huko wapo wawili tu 😂😂😂Ata ao CAF wanatushangaaa Kwa kushangilia vitu vya ki puuzi. Hakuna klabu yoyote kubwa Africa ikashangilia parfonance ya wachezaji au timu ya wiki
Sizitaki mbichi hiziKuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo.
Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa.
Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona na kuukwepa huu mtego.
Klabu yeyote kubwa na yenye malengo makubwa haiwezi kutosheka na hatua ndogo ndogo ambazo wengi wanazi define kama maafanikio.
Anyways, yaweza kuwa mafanikio kwenye klabu yao lakini nina shukuru sio kipimo cha mafanikio kwa klabu yangu.
Sijawahi kuona Timu kubwa Barani afrika kama Club Africaine, Al Ahly, Us Monastir, Mamelody Sundowns, TP Mazembe au Wyday Casablanca zikiturahia upuuzi wa sijui klabu bora ya week au mchezaji bora wa week katika akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii.
Hii inaonyesha ni jinsi gani hizi klabu ni kubwa sana na zina malengo makubwa.
MAFANIKIO YA KLABU YEYOTE KUBWA NI TAJI, NA WALA SI VINGINEVYO.
Watu mnachuki kupita kiasiWatatuletea na timu bora ya siku ikitoka kwenye wachezaji bora wa wiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787], watu wanaangalia kombe nyie mnaangalia wachezaji bora wiki[emoji1787][emoji1787]
Timu yoyote inaweza kucheza vizuri kwenye game moja inategemea anacheza na nani, ata ihefu au mtibwa sugar inaweza kucheza vizuri kwenye mechi yoyote na ikaingia kwenye kikosi bora cha wiki kwakuwa ndani ya wiki inachezwa mechi moja moja, kwaiyo uwezi kupima ubora wa timu kwa kuchagua mchezaji bora wa wiki ni upumbavu tu unaosapotiwa na kikundi cha wale Timu mangungu.
Huo uteuzi ulifanyikaje wakati Yanga haishiriki Klabu Bingwa, yaani kwa kizungu Champions League? 😂😂 😂Yanga SC imeteuliwa kuwa best perfoming club mara 2. Huwezi kuona shabiki wa Yanga SC anashadadia upuuzi kama huo.
Coz malengo ya klabu sio kuridhika na haja hiyo.
Imeteuliwa na nani ?? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Yanga SC imeteuliwa kuwa best perfoming club mara 2.
Huwezi kuona shabiki wa Yanga SC anashadadia upuuzi kama huo.
Coz malengo ya klabu sio kuridhika na haja hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga Kwa kule iliko Ina nafasi ya kutwaa ubingwa sijaona Timu ya kuizidi kule ila Kwa Simba safari Yao imefikia Kikomo labda bahati itokee.
Kwakuwa unaishi Misri, Morocco, Algeria ambapo hizo team kubwa zinapatikana, au sio ??Ata ao CAF wanatushangaaa Kwa kushangilia vitu vya ki puuzi. Hakuna klabu yoyote kubwa Africa ikashangilia parfonance ya wachezaji au timu ya wiki /mwezi.Timu kubwa hazina Cha kuwaambia mashabiki zaidi ya Mataji.
Unajichosha tu mkuu, Luc Eymael alishamaliza kila kitu, manara akapigilia msumari.Hapo ni kuridhika mkuu? Kama ulishawahi pata clip ya Mo akielezea kwanini kawekeza Simba wala usingeleta huu uzi, pili kuhusu try again kuhimiza watu kupiga kura labda mchezaji anapata chochote au anajua wakija kumuuza dau linakuwa refu