GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Wangekuwa wananisikiliza kila ninachowaambia hapa JamiiForums wala tusingefikia hapa Mkuu ila tatizo akina GENTAMYCINE tunadharauliwa kwakuwa hatuna Pesa, siyo Wanafiki kama Wao na hatuko katika Mfumo wa Upigaji ule wa 10% ambao 85% ya Viongozi wa sasa wa Simba SC ndiyo wanao ( wanaufanya ) ila Watu ( wana Simba SC ) wengi hawajui.GENTAMYCINE uko loyal sana kwa team yako ila tatizo wameweka pamba masikioni.
Siku zote Mwerevu ( GENTAMYCINE ) lazima awe Chukizo na Kero kwa AUTHENTIC MORONS kama Wewe na Van pebles hivyo wala sishangai badala yake nasomga mbele tu.Tatzo huna consistency katika utoaji maoni ndo maana huwa maoni yako yanapuuzwa.Huna unachokisimamia hvyo wanakuona kama M.A.LA.Y wa mpira.
Kwa upangaji ule wa Pablo wa kufanya majaribio ya wachezaji,Simba tujipange tu kwa mwakani.Mwaka huu sio kabisa.
Ninaanza kuona tatizo la uongozi sasa.
Labda ya hapa Kwetu Tandale Uzuri Mkuu.Hivi kumbe Pablo alifundisha Real Madrid
Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha Kuwaanzisha unawaingiza baadae kabisa?
Yaani kabisa Kocha Sisi Watu wa Mpira tumeshaona kuwa John Boko tayari 'Kwishnei' Kisoka halafu Wewe unamtetea huku ukiendelea Kumpanga Kikosini wakati una Vijana au Wachezaji wengine very Competent wa Kuisadia Timu?
Tayari Kocha uko na Kikosi na umeshaona ukitoa tu Meddie Kagere huna tena Mshambuliaji mwingine unaacha kuuambia Uongozi uachane na Chris Mugalu ili haraka tusajili 'Striker' mpya unabaki kudemadema tu utafikiri Ligi Kuu ya NBC ni ya Babu zako uliowaacha huko Kijijini Kwanu Hispania?
UKWELI MCHUNGU
GENTAMYCINE mpaka sasa nawapa 75% Yanga SC kuwa Mabingwa labda tu 'Complacency' iwagharimu na wasipouchukua Ubingwa nitawadharau kuliko Maelezo kwani Kiuhalisia na Kimazingira wana dalili zote za kuwa Mabingwa.
KWENU WANA SIMBA SC WENZANGU
Ili Yanga SC isiwe Bingwa inatakiwa ama ifungwe Mechi 3 au itoke Sare Mechi 4 je, tukiacha Unafiki na Ushabiki wetu mnadhani kwa Yanga SC hii ya sasa na walivyojipanga Kimkakati ndani na nje ya Uwanja hili litawezekana?
Na kumbukeni wakati huo tunaiombea mabaya haya Yanga SC na Sisi Simba SC tunatakiwa Kushinda tu Mechi zetu zote zilizobaki je, kwa Upuuzi na Ubovu wa Kocha Pablo mnadhani Simba SC yetu hii itaweza kulifanya hili wakati tuna Wachezaji dhaifu na wasio na Uchungu na Simba SC yetu?
LAWAMA KWA VIONGOZI WA SIMBA SC
Uongozi wa Simba SC wa sasa hauko serious na umewekeza zaidi katika Mapato na Biashara lakini siyo Ushindani wa Simba SC Uwanjani.
Wenzetu ( Watani ) zetu wanasajili Majembe ili Kujiimarisha zaidi Kiushindani Sisi kutwa tunahimizwa tu Kuchangia Ujenzi wa Uwanja wetu ili Ujengwe haraka kana kwamba TFF wametufukuza katika Viwanja vilivyopo.
NANI KASEMA HAJI MANARA KWENDA YANGA SC HAKUNA MADHARA YOYOTE KWA SIMBA SC YETU?
Tena Kuondoka kwa Haji Manara Kumetuathiri pakubwa Simba SC kwani alichokifanya Manara ni kuwaambia wana Yanga SC ( Viongozi na Wadhamini ) Siri zote zilizoipa Ubingwa mara Nne ( 4 ) na Yanga SC sasa nao kupitia GSM na Pesa walizonazo wanapita mule mule alikokuwa akipita Simba SC ( hasa Tajiri Mo Dewji ) na kwa Kujidhatiti Kwao kubakia Kileleni mpaka Watangazwe Mabingwa.
MIUJIZA
Najua duniani kuna Maajabu ( Miujiza ) ya kwamba pamoja na Yanga SC kutamba hivi ila nao wanaweza Kuukosa Ubingwa huu na Simba SC akauchukua tena.
Kwa Uchezaji mbovu wa Simba SC wa sasa na Umakini wa Yanga SC ni Mwendawazimu tu pekee atakataa kuwa hadi sasa ( leo ) Yanga SC ana 75% za kuwa Mabingwa.
LAWAMA NA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU
Kuna Watu wanadai Simba SC inaonewa na kwamba Yanga SC wanapendelewa.
GENTAMYCINE nakataa isipokuwa ninachojua tu ni kwamba Yanga SC imesajili Wachezaji wa Matokeo na Simba SC tumesajili Wachezaji wa Maonyesho na 10% kwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC.
Upuuzi mwingine ni huu baada ya Kufungwa na Mbeya City na Leo kutoa Suluhu na Mtibwa Sugar FC baadhi ya wana Simba SC wanadai Viwanja vilikuwa Kikwazo.
Nami nauliza kama Viwanja vya Sokoine ( Mbeya ) na Manungu ( Morogoro ) ni Vibovu na Kikwazo Kwetu Klabu yetu ya Simba SC imejenga wapi Uwanja wake?
Na kama Viwanja vilikuwa ni Vibovu vya Mbeya na Morogoro imekuwaje Wapinzani wetu wenye Miguu na Nguvu sawa na Sisi wao wameweza Kuvicheza na wala hawalalamiki au Kudeka kama Sisi?
NINI KIFANYIKE KWA SASA?
Tuache Kuiwazia Yanga SC 24/7 na Kucheza Mechi zao Kifitna ili Wafungwe au Watoke Sare tuweze Kuwakaribia bali tujitathmini wapi tumekosea kwa Msimu huu, tujisahahiihishe na tucheze Mechi zetu Kimkakati na tusiruhusu tena Kufungwa au hata kutoka Sare Mechi nyinginezo kuanzia sasa.
HITIMISHO
Wana Simba SC tukubali tu kuwa Kutesa ni kwa zamu na Watani zetu Yanga SC kwa Msimu huu wapo vyema na walijipanga vvema Kimkakati ( hasa Ndani na Nje ) ya Uwanja.
Viongozi wa Simba⁷ SC amkeni
Wewe ni mpuuzi fulani tu na mpiga kelele hapa. Juzi tu ulikuwa ukiponda uchezaji wa Morrison, leo unasema nini hapa. Kawe kocha wewe tuone, hatutaki mashabiki kubweka na wenye uvumilivu sifuri hapa.Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha Kuwaanzisha unawaingiza baadae kabisa?
Yaani kabisa Kocha Sisi Watu wa Mpira tumeshaona kuwa John Boko tayari 'Kwishnei' Kisoka halafu Wewe unamtetea huku ukiendelea Kumpanga Kikosini wakati una Vijana au Wachezaji wengine very Competent wa Kuisadia Timu?
Tayari Kocha uko na Kikosi na umeshaona ukitoa tu Meddie Kagere huna tena Mshambuliaji mwingine unaacha kuuambia Uongozi uachane na Chris Mugalu ili haraka tusajili 'Striker' mpya unabaki kudemadema tu utafikiri Ligi Kuu ya NBC ni ya Babu zako uliowaacha huko Kijijini Kwanu Hispania?
UKWELI MCHUNGU
GENTAMYCINE mpaka sasa nawapa 75% Yanga SC kuwa Mabingwa labda tu 'Complacency' iwagharimu na wasipouchukua Ubingwa nitawadharau kuliko Maelezo kwani Kiuhalisia na Kimazingira wana dalili zote za kuwa Mabingwa.
KWENU WANA SIMBA SC WENZANGU
Ili Yanga SC isiwe Bingwa inatakiwa ama ifungwe Mechi 3 au itoke Sare Mechi 4 je, tukiacha Unafiki na Ushabiki wetu mnadhani kwa Yanga SC hii ya sasa na walivyojipanga Kimkakati ndani na nje ya Uwanja hili litawezekana?
Na kumbukeni wakati huo tunaiombea mabaya haya Yanga SC na Sisi Simba SC tunatakiwa Kushinda tu Mechi zetu zote zilizobaki je, kwa Upuuzi na Ubovu wa Kocha Pablo mnadhani Simba SC yetu hii itaweza kulifanya hili wakati tuna Wachezaji dhaifu na wasio na Uchungu na Simba SC yetu?
LAWAMA KWA VIONGOZI WA SIMBA SC
Uongozi wa Simba SC wa sasa hauko serious na umewekeza zaidi katika Mapato na Biashara lakini siyo Ushindani wa Simba SC Uwanjani.
Wenzetu ( Watani ) zetu wanasajili Majembe ili Kujiimarisha zaidi Kiushindani Sisi kutwa tunahimizwa tu Kuchangia Ujenzi wa Uwanja wetu ili Ujengwe haraka kana kwamba TFF wametufukuza katika Viwanja vilivyopo.
NANI KASEMA HAJI MANARA KWENDA YANGA SC HAKUNA MADHARA YOYOTE KWA SIMBA SC YETU?
Tena Kuondoka kwa Haji Manara Kumetuathiri pakubwa Simba SC kwani alichokifanya Manara ni kuwaambia wana Yanga SC ( Viongozi na Wadhamini ) Siri zote zilizoipa Ubingwa mara Nne ( 4 ) na Yanga SC sasa nao kupitia GSM na Pesa walizonazo wanapita mule mule alikokuwa akipita Simba SC ( hasa Tajiri Mo Dewji ) na kwa Kujidhatiti Kwao kubakia Kileleni mpaka Watangazwe Mabingwa.
MIUJIZA
Najua duniani kuna Maajabu ( Miujiza ) ya kwamba pamoja na Yanga SC kutamba hivi ila nao wanaweza Kuukosa Ubingwa huu na Simba SC akauchukua tena.
Kwa Uchezaji mbovu wa Simba SC wa sasa na Umakini wa Yanga SC ni Mwendawazimu tu pekee atakataa kuwa hadi sasa ( leo ) Yanga SC ana 75% za kuwa Mabingwa.
LAWAMA NA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU
Kuna Watu wanadai Simba SC inaonewa na kwamba Yanga SC wanapendelewa.
GENTAMYCINE nakataa isipokuwa ninachojua tu ni kwamba Yanga SC imesajili Wachezaji wa Matokeo na Simba SC tumesajili Wachezaji wa Maonyesho na 10% kwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC.
Upuuzi mwingine ni huu baada ya Kufungwa na Mbeya City na Leo kutoa Suluhu na Mtibwa Sugar FC baadhi ya wana Simba SC wanadai Viwanja vilikuwa Kikwazo.
Nami nauliza kama Viwanja vya Sokoine ( Mbeya ) na Manungu ( Morogoro ) ni Vibovu na Kikwazo Kwetu Klabu yetu ya Simba SC imejenga wapi Uwanja wake?
Na kama Viwanja vilikuwa ni Vibovu vya Mbeya na Morogoro imekuwaje Wapinzani wetu wenye Miguu na Nguvu sawa na Sisi wao wameweza Kuvicheza na wala hawalalamiki au Kudeka kama Sisi?
NINI KIFANYIKE KWA SASA?
Tuache Kuiwazia Yanga SC 24/7 na Kucheza Mechi zao Kifitna ili Wafungwe au Watoke Sare tuweze Kuwakaribia bali tujitathmini wapi tumekosea kwa Msimu huu, tujisahahiihishe na tucheze Mechi zetu Kimkakati na tusiruhusu tena Kufungwa au hata kutoka Sare Mechi nyinginezo kuanzia sasa.
HITIMISHO
Wana Simba SC tukubali tu kuwa Kutesa ni kwa zamu na Watani zetu Yanga SC kwa Msimu huu wapo vyema na walijipanga vvema Kimkakati ( hasa Ndani na Nje ) ya Uwanja.
Viongozi wa Simba SC amkeni haraka!!
Cc: Daudi Mchambuzi
Wewe si shabiki wa mpira ni mpiga kelele tu.Nakubaliana na mtoa mada moja kwa moja. Simba wanawaonea aibu wachezaji waliozeeka kama boko badala ya kuwaacha na kusajili vijana.
Pia nauona mapungufu ya uongozi. Inakuwaje simba ilishapiga hatua mbele kwa hiyo msimu huu walitakiw kusajili wachezaji hasa washambuliani wa class za juu kuliko tulionao lakin viongozi wakazembea.
Dirisha dogo pia wamezembea. Kuna wachezaji waliosajiliwa msimu huu ukiwatazama ni wazi unaziona ten percent. Kiweli kusua sua kwa simba ni matokeo ya maamuzi yao.
Pia kuna haja gani ya zile bilion 20 kama tunaendelea tunaendelea na usajili usio na malengo
Pumbavu wapi nimesema Yanga SC ni Bingwa? Nimesema kwa trend ya Simba SC na poor performance ya sasa ya Simba SC kwa sasa huku Yanga SC ikiwa katika Form nawapa 75% ya kuweza kuwa Mabingwa je, logically tu hapo Kimtazamo kuna tatizo?Inawezekana kweli yanga akawa bingwa ila ni mapema sana hata raundi ya pili bado mashabiki wa simba mnawasikiliza wachambuzi ucharwa.
Kutesa kwa zamu hata kuteseka ni kwa zamu piaYaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha Kuwaanzisha unawaingiza baadae kabisa?
Yaani kabisa Kocha Sisi Watu wa Mpira tumeshaona kuwa John Boko tayari 'Kwishnei' Kisoka halafu Wewe unamtetea huku ukiendelea Kumpanga Kikosini wakati una Vijana au Wachezaji wengine very Competent wa Kuisadia Timu?
Tayari Kocha uko na Kikosi na umeshaona ukitoa tu Meddie Kagere huna tena Mshambuliaji mwingine unaacha kuuambia Uongozi uachane na Chris Mugalu ili haraka tusajili 'Striker' mpya unabaki kudemadema tu utafikiri Ligi Kuu ya NBC ni ya Babu zako uliowaacha huko Kijijini Kwanu Hispania?
UKWELI MCHUNGU
GENTAMYCINE mpaka sasa nawapa 75% Yanga SC kuwa Mabingwa labda tu 'Complacency' iwagharimu na wasipouchukua Ubingwa nitawadharau kuliko Maelezo kwani Kiuhalisia na Kimazingira wana dalili zote za kuwa Mabingwa.
KWENU WANA SIMBA SC WENZANGU
Ili Yanga SC isiwe Bingwa inatakiwa ama ifungwe Mechi 3 au itoke Sare Mechi 4 je, tukiacha Unafiki na Ushabiki wetu mnadhani kwa Yanga SC hii ya sasa na walivyojipanga Kimkakati ndani na nje ya Uwanja hili litawezekana?
Na kumbukeni wakati huo tunaiombea mabaya haya Yanga SC na Sisi Simba SC tunatakiwa Kushinda tu Mechi zetu zote zilizobaki je, kwa Upuuzi na Ubovu wa Kocha Pablo mnadhani Simba SC yetu hii itaweza kulifanya hili wakati tuna Wachezaji dhaifu na wasio na Uchungu na Simba SC yetu?
LAWAMA KWA VIONGOZI WA SIMBA SC
Uongozi wa Simba SC wa sasa hauko serious na umewekeza zaidi katika Mapato na Biashara lakini siyo Ushindani wa Simba SC Uwanjani.
Wenzetu ( Watani ) zetu wanasajili Majembe ili Kujiimarisha zaidi Kiushindani Sisi kutwa tunahimizwa tu Kuchangia Ujenzi wa Uwanja wetu ili Ujengwe haraka kana kwamba TFF wametufukuza katika Viwanja vilivyopo.
NANI KASEMA HAJI MANARA KWENDA YANGA SC HAKUNA MADHARA YOYOTE KWA SIMBA SC YETU?
Tena Kuondoka kwa Haji Manara Kumetuathiri pakubwa Simba SC kwani alichokifanya Manara ni kuwaambia wana Yanga SC ( Viongozi na Wadhamini ) Siri zote zilizoipa Ubingwa mara Nne ( 4 ) na Yanga SC sasa nao kupitia GSM na Pesa walizonazo wanapita mule mule alikokuwa akipita Simba SC ( hasa Tajiri Mo Dewji ) na kwa Kujidhatiti Kwao kubakia Kileleni mpaka Watangazwe Mabingwa.
MIUJIZA
Najua duniani kuna Maajabu ( Miujiza ) ya kwamba pamoja na Yanga SC kutamba hivi ila nao wanaweza Kuukosa Ubingwa huu na Simba SC akauchukua tena.
Kwa Uchezaji mbovu wa Simba SC wa sasa na Umakini wa Yanga SC ni Mwendawazimu tu pekee atakataa kuwa hadi sasa ( leo ) Yanga SC ana 75% za kuwa Mabingwa.
LAWAMA NA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU
Kuna Watu wanadai Simba SC inaonewa na kwamba Yanga SC wanapendelewa.
GENTAMYCINE nakataa isipokuwa ninachojua tu ni kwamba Yanga SC imesajili Wachezaji wa Matokeo na Simba SC tumesajili Wachezaji wa Maonyesho na 10% kwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC.
Upuuzi mwingine ni huu baada ya Kufungwa na Mbeya City na Leo kutoa Suluhu na Mtibwa Sugar FC baadhi ya wana Simba SC wanadai Viwanja vilikuwa Kikwazo.
Nami nauliza kama Viwanja vya Sokoine ( Mbeya ) na Manungu ( Morogoro ) ni Vibovu na Kikwazo Kwetu Klabu yetu ya Simba SC imejenga wapi Uwanja wake?
Na kama Viwanja vilikuwa ni Vibovu vya Mbeya na Morogoro imekuwaje Wapinzani wetu wenye Miguu na Nguvu sawa na Sisi wao wameweza Kuvicheza na wala hawalalamiki au Kudeka kama Sisi?
NINI KIFANYIKE KWA SASA?
Tuache Kuiwazia Yanga SC 24/7 na Kucheza Mechi zao Kifitna ili Wafungwe au Watoke Sare tuweze Kuwakaribia bali tujitathmini wapi tumekosea kwa Msimu huu, tujisahahiihishe na tucheze Mechi zetu Kimkakati na tusiruhusu tena Kufungwa au hata kutoka Sare Mechi nyinginezo kuanzia sasa.
HITIMISHO
Wana Simba SC tukubali tu kuwa Kutesa ni kwa zamu na Watani zetu Yanga SC kwa Msimu huu wapo vyema na walijipanga vvema Kimkakati ( hasa Ndani na Nje ) ya Uwanja.
Viongozi wa Simba SC amkeni haraka!!
Cc: Daudi Mchambuzi
Kwamba Manara ana siri za Simba kumzidi Senzo aliyehamia upande wa pili? Hilo nakataa,Manara hana impact yoyote kwa Simba kupata matokeo haya maana ni kawaida timu kama Simba kufungwa maana misimu karibu yote Simba amepoteza mechi na kusuluhu lakini bado akachukua ubingwa.Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha Kuwaanzisha unawaingiza baadae kabisa?
Yaani kabisa Kocha Sisi Watu wa Mpira tumeshaona kuwa John Boko tayari 'Kwishnei' Kisoka halafu Wewe unamtetea huku ukiendelea Kumpanga Kikosini wakati una Vijana au Wachezaji wengine very Competent wa Kuisadia Timu?
Tayari Kocha uko na Kikosi na umeshaona ukitoa tu Meddie Kagere huna tena Mshambuliaji mwingine unaacha kuuambia Uongozi uachane na Chris Mugalu ili haraka tusajili 'Striker' mpya unabaki kudemadema tu utafikiri Ligi Kuu ya NBC ni ya Babu zako uliowaacha huko Kijijini Kwanu Hispania?
UKWELI MCHUNGU
GENTAMYCINE mpaka sasa nawapa 75% Yanga SC kuwa Mabingwa labda tu 'Complacency' iwagharimu na wasipouchukua Ubingwa nitawadharau kuliko Maelezo kwani Kiuhalisia na Kimazingira wana dalili zote za kuwa Mabingwa.
KWENU WANA SIMBA SC WENZANGU
Ili Yanga SC isiwe Bingwa inatakiwa ama ifungwe Mechi 3 au itoke Sare Mechi 4 je, tukiacha Unafiki na Ushabiki wetu mnadhani kwa Yanga SC hii ya sasa na walivyojipanga Kimkakati ndani na nje ya Uwanja hili litawezekana?
Na kumbukeni wakati huo tunaiombea mabaya haya Yanga SC na Sisi Simba SC tunatakiwa Kushinda tu Mechi zetu zote zilizobaki je, kwa Upuuzi na Ubovu wa Kocha Pablo mnadhani Simba SC yetu hii itaweza kulifanya hili wakati tuna Wachezaji dhaifu na wasio na Uchungu na Simba SC yetu?
LAWAMA KWA VIONGOZI WA SIMBA SC
Uongozi wa Simba SC wa sasa hauko serious na umewekeza zaidi katika Mapato na Biashara lakini siyo Ushindani wa Simba SC Uwanjani.
Wenzetu ( Watani ) zetu wanasajili Majembe ili Kujiimarisha zaidi Kiushindani Sisi kutwa tunahimizwa tu Kuchangia Ujenzi wa Uwanja wetu ili Ujengwe haraka kana kwamba TFF wametufukuza katika Viwanja vilivyopo.
NANI KASEMA HAJI MANARA KWENDA YANGA SC HAKUNA MADHARA YOYOTE KWA SIMBA SC YETU?
Tena Kuondoka kwa Haji Manara Kumetuathiri pakubwa Simba SC kwani alichokifanya Manara ni kuwaambia wana Yanga SC ( Viongozi na Wadhamini ) Siri zote zilizoipa Ubingwa mara Nne ( 4 ) na Yanga SC sasa nao kupitia GSM na Pesa walizonazo wanapita mule mule alikokuwa akipita Simba SC ( hasa Tajiri Mo Dewji ) na kwa Kujidhatiti Kwao kubakia Kileleni mpaka Watangazwe Mabingwa.
MIUJIZA
Najua duniani kuna Maajabu ( Miujiza ) ya kwamba pamoja na Yanga SC kutamba hivi ila nao wanaweza Kuukosa Ubingwa huu na Simba SC akauchukua tena.
Kwa Uchezaji mbovu wa Simba SC wa sasa na Umakini wa Yanga SC ni Mwendawazimu tu pekee atakataa kuwa hadi sasa ( leo ) Yanga SC ana 75% za kuwa Mabingwa.
LAWAMA NA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU
Kuna Watu wanadai Simba SC inaonewa na kwamba Yanga SC wanapendelewa.
GENTAMYCINE nakataa isipokuwa ninachojua tu ni kwamba Yanga SC imesajili Wachezaji wa Matokeo na Simba SC tumesajili Wachezaji wa Maonyesho na 10% kwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC.
Upuuzi mwingine ni huu baada ya Kufungwa na Mbeya City na Leo kutoa Suluhu na Mtibwa Sugar FC baadhi ya wana Simba SC wanadai Viwanja vilikuwa Kikwazo.
Nami nauliza kama Viwanja vya Sokoine ( Mbeya ) na Manungu ( Morogoro ) ni Vibovu na Kikwazo Kwetu Klabu yetu ya Simba SC imejenga wapi Uwanja wake?
Na kama Viwanja vilikuwa ni Vibovu vya Mbeya na Morogoro imekuwaje Wapinzani wetu wenye Miguu na Nguvu sawa na Sisi wao wameweza Kuvicheza na wala hawalalamiki au Kudeka kama Sisi?
NINI KIFANYIKE KWA SASA?
Tuache Kuiwazia Yanga SC 24/7 na Kucheza Mechi zao Kifitna ili Wafungwe au Watoke Sare tuweze Kuwakaribia bali tujitathmini wapi tumekosea kwa Msimu huu, tujisahahiihishe na tucheze Mechi zetu Kimkakati na tusiruhusu tena Kufungwa au hata kutoka Sare Mechi nyinginezo kuanzia sasa.
HITIMISHO
Wana Simba SC tukubali tu kuwa Kutesa ni kwa zamu na Watani zetu Yanga SC kwa Msimu huu wapo vyema na walijipanga vvema Kimkakati ( hasa Ndani na Nje ) ya Uwanja.
Viongozi wa Simba SC amkeni haraka!!
Cc: Daudi Mchambuzi
Hata Wewe si Shabiki wa Mpira bali ni Dunduna na Popoma fulani hivi usiyejijua.Wewe si shabiki wa mpira ni mpiga kelele tu.
Lazima tukupashe, umezidi kwa kelele zisizo na mantiki hapa. Ulitegemea Simba ashinde mechi zote na achukue ubingwa yeye tu? Hiyo inakuwa ni league au kichekesho.You're an authentic FOOL on the Forum.
Popoma ni wewe unayelialia bila sababu. Mashabiki tunajua kuna ups and downs katika soka, hivyo tunakuwa patient.Hata Wewe si Shabiki wa Mpira bali ni Dunduna na Popoma fulani hivi usiyejijua.
Real Madrid hawana Wapumbavu kama Yeye Mkuu. Tena hata Mtani wangu wa Kiha ( Kigoma ) na Rafiki yangu mkubwa tu Kocha Matola anamzidi vingi na Simba SC ingemuamini huenda leo tusingekuwa na haya Matokeo.Jamani SI tuliambiwa ametoka Real Madrid?
GENTAMYCINE simtaki na simpendi Kocha Pablo. Ni msanii tu na hana lolote Mpuuzi Yule. Tena nina Hasira nae kweli kweli hasa kwa Upangaji mbaya wa Kikosi chake cha Jana dhidi ya Mtibwa Sugar FC. Hana Akili period!!Wanasimba wenzangu tuwe na subira maana siku zote furaha ya yanga huishia kuongoza ligi hadi mzunguko wa kwanza unaisha lakini lazima watakosa furaha ya ubingwa.
Wanasimba hatuna tabia ya kuanza kulaumiana mapema hivi kisa kupoteza mchezo hiyo tabia ipo upande wa pili.
Ukitaka kuamini ngoja yanga apoteze mechi moja tu watapoteana kuanzia viongozi,wachezaji hadi mashabiki kwakuwa ndiyo utamaduni wao. Sisi simba hatuna utamaduni huo.
Absolutely Nonsense....!!!Lazima tukupashe, umezidi kwa kelele zisizo na mantiki hapa. Ulitegemea Simba ashinde mechi zote na achukue ubingwa yeye tu? Hiyo inakuwa ni league au kichekesho.