Upuuzi wa migahawa mingi sasa hivi kuuza mchaichai wa kuchemsha kama chai nyeusi(black tea) unakera sana

Upuuzi wa migahawa mingi sasa hivi kuuza mchaichai wa kuchemsha kama chai nyeusi(black tea) unakera sana

Hivyo viungo unavyotengeneza wewe ni viungo(spices) ambavyo unaweza hata kupikia navyo pilau au nyama. Chai ni kitu lingine kabisa, ni beverage kama kahawa, sio spice au herb.
Dahh sawa, kila mtu na taste yake kwakweli..
 
Back
Top Bottom