Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz


We kima acha uongo rais alikupigia SIMU mara tu ya operation? mbona tumearifiwa rasmi kuwa rais aliwasiliana na viongozi wakuu watatu kwa SIMU?

acha utoto wewe babu.
 
We kima acha uongo rais alikupigia SIMU mara tu ya operation? mbona tumearifiwa rasmi kuwa rais aliwasiliana na viongozi wakuu watatu kwa SIMU?

acha utoto wewe babu.

- hahahahahahahahahahahahah utajibeba mjinga wewe unaona unavyotapa tapa pigana na picha sasa nikuone hahahahahahh aliongea na watu kibao nikiwa pamoja na Steve Nyerere tuliza boli mkuu hapa ngoma ni nzito ngedere wewe, chezeeni wajinga wenzenu sio mimi huwezi hapa ngoma ni nzito sana U know hahahahahahah

Le Mutuz
 

Umesema baada tu ya kutoka kwenye operation rais alikupigia SIMU wewe Kama nani? Yaani aanze tu kukupigia le mutuz we jamaa una akili mbovu Sana....

Hahahahah umeuchekesha ulimwengu Leo what so special kwako mpaka rais atoke tu kwenye chumba cha upasuaji akupigie? Kwa minyoo ulonayo au?
 

Hahahaaaaa Le Mutuz nakutafuta kama nini unipe ile simu ya galaxy note 3 uliyoshinda......
 


Mimi kwangu sio issue maana unijibu usinijibu sipati lolote maana natumia anonymous ID so sio issue kwangu.....

Ila sitoacha kukupa ukweli wewe debe tupu uliekosa haya kubwa zima akili sifuri....

Nasikia watu wametoa maagizo kwa walinzi wakikuona wewe tumbiri no entrance....

unatia aibu kibabu bomba kukimbizana mjini kupiga picha

Lina hasara kuu lilokuzaa....
 


- haha haha haha
 

Wewe Baba ni kibogo Rais akupigie simu ili muongee nini wakati hata kwenye Top 13 ya Ikulu haumo, hapa JF usidhani unadeal na kina Sintah kuna watu wenye akili timamu.

Mungu ni mwema sana bloger mwenye connection ya moja kwa moja na Kikwete ni Michuzi anakwenda kila safari anayokwenda Rais na hana mbwembwe na anakubalika na watoto wote wa mjini na tunamuita Ankal.

Kupiga picha na Kikwete wala siyo issue kwa watu wanaomjuwa Kikwete mpaka mateja kina Ray C kapiga nao picha.

Halafu acha kudanganya watu kama Mzee Malecela anaalikwa kwenye party kama waziri mkuu mstaafu na akakupa wewe kadi yake umuwakilishe haimanishi ni wewe umealikwa.

Wewe ualikwe ikulu kwa wadhifa upi ulionao? Danganya wajinga wenzako kina Sintah mkikaa kwenye vijiwe vyenu.

Mwisho utueleze hiyo picha unayodai umealikwa na Kikwete je imepigwa mwaka gani? Wataalam wa picha wapo hapa.

Muhimu: Wote tunafahamu ulipigwa ban ya miezi 6 hapa JF that's means kosa lako lilikuwa kubwa, kwahiyo naenda na wewe mdogomdogo na bayana zako nitaziweka hapa.

Kukuonesha mimi ni smart kiasi gani na siwezi kuingia kwenye mtego wako nitapiga simu kwa JF founder kabla sijaweka bayana zako hapa jinsi ulivyoshiriki kuwaibia pesa vijana maskini kwa kuwaahidi kuna kazi ulaya huku ukijuwa unachofanya ni utapeli.

The show is just begin..........
 

- Le mburulazzzz unanichekesha sana maneno mengi hoja hamna, Michuzi hahusiki na this foolishness of yours, Juzi nimechaguliwa kuwa kiongozi wa Tanzania Bloggers Asscociation jiulize ni kwa nini wamenichagua kabla hujajivua nguo hapa na ujinga ujinga, Michuzi ni my close friend tunatoka mbali sana na this life ya mjini sina tatizo naye ana area zake na mimi nina zangu we respect each other na kwenye many project we work together kwa hiyo umekosea sana kwenye hiyo njiia nimekubana mbavu huna pa kutokea tizama unavyohangaika kama kuku anataka kutaga, hiyo picha imepigwa siky ya Dinner ya Muungano Ikulu niambie kama wewe au baba yako alialikwa? hahahahahahahahah

- Ninarudia tena juzi nimeongea na Rais na siku wa peke yangu mmoja wa tuliyeongea naye ni Steve Nyerere siku aliyofanyiwa operation ya kwamba ilikuwa baada tu ya operation hayo ni yako maana unaona kwamba huna pa kutokea mmezoea kutukana watu wasiokuja kujibu hapa mimi nitakupa FACTS mpaka ujielewe mjinga wewe, mwanaume mzima kazi kufutailia maisha ya wananume wengine yako mwenye ni empty huna life maana Mwanaume huwezi kulala macho na maisha ya asiyekuhusu lazima una matatizo makubwa sana kimaisha, wewe mjinga wewe utajilinganisha na mimi on what?

- Kuhusu JF nimekwambia mara nyingi sana nenda Brela pale Mnazimmoja, gorofa ya Saba muulizie Fraank mwambie unataka kuona information za Jamiiiforums watakupa utajionea yote na utaona jina langu, ila ukishafanya hivyo njoo useme feedback hapa, Rais JK ni mshikaji wangu loong time hata kabla hajawa Rais waulize watu wa New York watakwambia ukweli mpaka leo tupo vile vile, sasa niambie na hizo picha nilizopiga naye ni Malecela ndiye alimuambia tupige? hahahahahahaha binadam mjinga hata kwenye ukweli hujifanya kujua unajua nini wewe mshamba wewe, tuliza boli nakushukuru sana kwa kunipa platform ya kuweka ukweli wazi, wenye akili wakisoma hapa wanaelewa ila wajinga akama wewe wataendelea kubisha unabisha nini jali maisha yako mabovu, hivi kweli wewe mjinga utalinganisha maisha yangu na yako? pleasee hahahahahahahahah wewe unaweza kweli kunitisha mimi na maneno ya kijinga kama mlevi unafikiri mimi ninatishika na wajinga kama wewe, with absolutely no edcuation huna elimu wewe huoni kwamba ni empty head? hahahahahah tisha wajinga wenzako sio mimi

The King Of All Bongo Social MEdia Network
 


- haha haha haha


Kama ni picha hao. watu tumepiga nao Sana na wala sijawahi ona ni issue kwangu....

Kuna watu hawahangaiki na mapicha Kama wewe lakini wanathaminiwa na kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa serikalini mbona we hupati??

Halafu huwa unatoa harufu Kali Sana ya kikwapa na mdomo mpaka unaboa.....
 

- nonsense!! hahahahahahahahah ninazo biashara zangu kama ni wadhifa ninao from:- 1. Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa na soon nitakuchagulia Rais. 2. Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi/CCM Taifa 3. Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa, sihitaji nyadhifa tena, ila by the way wewe vipi nini wadhifa wako hapa bongo au ndio wale wale kalagha baho? hahahahahahahah

Le Big Show
 

Itakuwa alipigiwa simu na Rais wa wala bata yule DJ Choka....sasa yeye kachanganya madesaaaa....hahaaaaaa akajua JK..
Anazeeka vibaya huyu....
 


Hivyo vyeo sio issue ukiona mpaka wewe umevipata ujue sio issue kabisa

Vipi suala la kupakazana harufu za kwapa umelifanyia kazi??

Ungekua na biashara usingekimbia child support USA
 
Itakuwa alipigiwa simu na Rais wa wala bata yule DJ Choka....sasa yeye kachanganya madesaaaa....hahaaaaaa akajua JK..
Anazeeka vibaya huyu....

- So na wengine wote walio ongea naye wamezeeeka? hahahahahahaha leo mnalo nitawapa elimu hapa mpaka muelewe wajinga nyie, wote mbiuru;lazzzz with absolutely no brain kazi kujaza kurasa za JF kutisha watu na matusi ya kizamani mimi jeshi la mtu mmoja tu hamnitishi nasema wote hamna elimu kama yangu ndio maana hata on this thread mnacheza ngoma yangu kama kawaida hahahahahahahaha I love this bring it on!!

Le Mutuz
 
Hivyo vyeo sio issue ukiona mpaka wewe umevipata ujue sio issue kabisa

Vipi suala la kupakazana harufu za kwapa umelifanyia kazi??

Ungekua na biashara usingekimbia child support USA

- hahahahahahahaah kumbe Dr. slaa na Sugu wamekimbia Child Support kwa kuachana na wake zao, hahahahahahahaha unaona mnavyozidi kujivua nguo kwamba hamna kitu kichwani, by the way eti wewe una cheo gani zaidi tu ya kuandika matusi ya kizamani kwa herufi kubwa kama kichaaa hahahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Sure hapo ilikuwa ni Bilicanas Club una maana mmiliki wa hiyo Club ni jingaz na pumbavuuzz au what? hahahahahahahahahah

Le Mutuz
bila shaka hapo ilkuwa ni after Xul bash mbalamwezi ukiwa na teenagers wenzako, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu we mzee
 

Wazazi upo, vijana upo....hatari hatari we babu kibokooo...
Na yule mwenzio Bulembo yupo UVCCM?
 
bila shaka hapo ilkuwa ni after Xul bash mbalamwezi ukiwa na teenagers wenzako, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu we mzee

- Ok lets say ilikuwa Mbalamwezi so unasema mwenye Mbalamwezi ni mjinga na mpumbavu au unasema inamilikiwa na Teeneger? unaona jinsi ulivyo huna akili hata ya kuweza kufikiri kidogo tu I mean empty head U know hahahahahahahah

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…