Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

- hahahahahahahaah kumbe Dr. slaa na Sugu wamekimbia Child Support kwa kuachana na wake zao, hahahahahahahaha unaona mnavyozidi kujivua nguo kwamba hamna kitu kichwani, by the way eti wewe una cheo gani zaidi tu ya kuandika matusi ya kizamani kwa herufi kubwa kama kichaaa hahahahahahahahaha

Le Mutuz

Le bonge la nyau,naona unatoa mistari konde.
 
Wazazi upo, vijana upo....hatari hatari we babu kibokooo...
Na yule mwenzio Bulembo yupo UVCCM?

- Ona mnavyozidi kutoka kwenye mstari wenu wa matusi vipi mmekwama nini niwasaidie hoja? hahahahahahahahahah mimi ndio Le Mutuz Big Show The King Of All Bongo Social Media Network usikurupuke kama unataka kucheza this game na mimi hjuwa sihitaji kusaidiwa na yoyote I can play this anytime hata nikiwa nimelala you mburulazzzzz now go home and jifunzeni tena this game hahahahahahahahah

Le Mutuz
 
- Ok lets say ilikuwa Mbalamwezi so unasema mwenye Mbalamwezi ni mjinga na mpumbavu au unasema inamilikiwa na Teeneger? unaona jinsi ulivyo huna akili hata ya kuweza kufikiri kidogo tu I mean empty head U know hahahahahahahah

Le Mutuz

hukujisikia out of place ukiwa na vitoto vinavyozungumzia single mpya ya taylor swift au sababu akili zako zinalingana nao ukaona ni sawa? ilkuwa ni party ya teenagers..Jesus, for God sake...kha
 
- Sijawahi kuwa na degree 3 ila nina Degree 3, na besides kama ni ustaarabu sijwahi kupiga mangumi wanawake ni watu wa chini kwa akili na elimu ndio wanaweza kupiga mangumi wanawake tena mwanaume mtumzima, U know hahahahahahahah

Le Mutuz

Unataka kupoteza lengo.

The fact is, hunijui.Nishakupa nafasi unitaje jina hapa ukashindwa. Habari za kupiga mangumi wanawake umezitunga tu.

Wewe ne degree zako tatu bado hujajua kwamba neno katikati ya sentensi halianzi kwa herufi kubwa.

Na hujajua pia kwamba ni "Windhoek Lager" si "Windhoek Larger".

Rudi chekechea, degree zako tatu wamekulia hela tu.
 
- Ona mnavyozidi kutoka kwenye mstari wenu wa matusi vipi mmekwama nini niwasaidie hoja? hahahahahahahahahah mimi ndio Le Mutuz Big Show The King Of All Bongo Social Media Network usikurupuke kama unataka kucheza this game na mimi hjuwa sihitaji kusaidiwa na yoyote I can play this anytime hata nikiwa nimelala you mburulazzzzz now go home and jifunzeni tena this game hahahahahahahahah

Le Mutuz

Tunavyozidi? tuko wangapi? Halafu Mburula ni wewe ambaye mpaka leo hujijui ni kijana au mzee.....Pole sana.....
Ila kadi ya vijana urudishe...hata ukinuna ndo nshakwambia....

Halafu unasema tukajifunze game? game gani ya kupiga puchu au? kwa hiyo hata ukiwa umelala unacheza game ya puchu.....makubwaaaaaa
 
hukujisikia out of place ukiwa na vitoto vinavyozungumzia single mpya ya taylor swift au sababu akili zako zinalingana nao ukaona ni sawa? ilkuwa ni party ya teenagers..Jesus, for God sake...kha

- I know tungeanza na mmiliki wa Club unamuweka wapi na this kind of business ambayo wewe unaamini inatakiwa kuwa ya watoto wadogo kama wewe u know hahahahahahahha

either unajitoa fahamu au ufahamu wako ni mdogo..kwani leo ukiambiwa sehemu kuna toto party utaenda just kwa sababu ya mmilki wa club? poor reasoning? hivi ukoje wewe????
 
Unataka kupoteza lengo.

The fact is, hunijui.Nishakupa nafasi unitaje jina hapa ukashindwa. Habari za kupiga mangumi wanawake umezitunga tu.

Wewe ne degree zako tatu bado hujajua kwamba neno katikati ya sentensi halianzi kwa herufi kubwa.

Na hujajua pia kwamba ni "Windhoek Lager" si "Windhoek Larger".

Rudi chekechea, degree zako tatu wamekulia hela tu.

- Sina degree 3 nina Degree 3, ila siwapigi wanawake halafu nikirudi bongo sikimbilii hotel kisa kwetu Kimara hakuna choo, ningekuwa mimi ningewajengea choo cha kisasa wazazi wangu kusudi nikija niwe nafikia home badala ya kujiongezea madeni ya credit card kukaa Protea, hahahahahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Tunavyozidi? tuko wangapi? Halafu Mburula ni wewe ambaye mpaka leo hujijui ni kijana au mzee.....Pole sana.....
Ila kadi ya vijana urudishe...hata ukinuna ndo nshakwambia....

Halafu unasema tukajifunze game? game gani ya kupiga puchu au? kwa hiyo hata ukiwa umelala unacheza game ya puchu.....makubwaaaaaa

- Kamanda mkuu wa UVCCM Taifa ni Mzee Kingunge Mwiru ndio maana ninakwambia kwamba uwezo wako wa kufikiri infact wote nyie ni mdogo sana ndio maana hamuniwezi jeshi la mtu mmoja nawatesa kama vichaa maana akili hamna wote loe mburulazzz hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Sina degree 3 nina Degree 3, ila siwapigi wanawake halafu nikirudi bongo sikimbilii hotel kisa kwetu Kimara hakuna choo, ningekuwa mimi ningewajengea choo cha kisasa wazazi wangu kusudi nikija niwe nafikia home badala ya kujiongezea madeni ya credit card kukaa Protea, hahahahahahahahahahaha

Le Mutuz

"Windhoek Larger" hahaaaaa.

Nina Degree 3, hahaaaaaaa.

Rudi chekechea Lodi Lofa.
 
either unajitoa fahamu au ufahamu wako ni mdogo..kwani leo ukiambiwa sehemu kuna toto party utaenda just kwa sababu ya mmilki wa club? poor reasoning? hivi ukoje wewe????

- Kama unayoyasema ni sawa ni makosa kwa mtumzima kumili Mbalamwezi Beach Club ndio ninakushangaa kama kweli una akili sawa sawa au ndio yale yale, kama ninakusoma sawa sawa mmiliki wa Toys R us anatakiwa ---- mtoto mdogo maana mtumzima hawezi kumiliki kampuni ya matoi ya watoto, hahahahahahahaha hata kujibishana na wewe ninajishusha sana lakini kwa leo lazima niwape elimu ndio maana nawapa mawe tu U know!!

jiheshimu mtu mzima first time ulijiteteta eti 65 percent ya voters ni under 18 thats why ulikuwa una mingle nao leo unajifanya kuchezesha maneno..le jingazz
 
- hahahahahahah tizama ulikotokea na unakoelekea wala hamna comparison, I mean nimekuuliza swali kama unaamini Mbalamwezi Club ni ya watoto nakuuliza Mmmiliki wake naye anatakiwa kuwa mtoto kama wewe au what? hahahahahahahah

Le Mutuz
 
Hiii kazi mnayo,wazee wazima misutano km kule kwetu mbagala....
 
- Le mburulazzzz unanichekesha sana maneno mengi hoja hamna, Michuzi hahusiki na this foolishness of yours, Juzi nimechaguliwa kuwa kiongozi wa Tanzania Bloggers Asscociation jiulize ni kwa nini wamenichagua kabla hujajivua nguo hapa na ujinga ujinga, Michuzi ni my close friend tunatoka mbali sana na this life ya mjini sina tatizo naye ana area zake na mimi nina zangu we respect each other na kwenye many project we work together kwa hiyo umekosea sana kwenye hiyo njiia nimekubana mbavu huna pa kutokea tizama unavyohangaika kama kuku anataka kutaga, hiyo picha imepigwa siky ya Dinner ya Muungano Ikulu niambie kama wewe au baba yako alialikwa? hahahahahahahahah

- Ninarudia tena juzi nimeongea na Rais na siku wa peke yangu mmoja wa tuliyeongea naye ni Steve Nyerere siku aliyofanyiwa operation ya kwamba ilikuwa baada tu ya operation hayo ni yako maana unaona kwamba huna pa kutokea mmezoea kutukana watu wasiokuja kujibu hapa mimi nitakupa FACTS mpaka ujielewe mjinga wewe, mwanaume mzima kazi kufutailia maisha ya wananume wengine yako mwenye ni empty huna life maana Mwanaume huwezi kulala macho na maisha ya asiyekuhusu lazima una matatizo makubwa sana kimaisha, wewe mjinga wewe utajilinganisha na mimi on what?

- Kuhusu JF nimekwambia mara nyingi sana nenda Brela pale Mnazimmoja, gorofa ya Saba muulizie Fraank mwambie unataka kuona information za Jamiiiforums watakupa utajionea yote na utaona jina langu, ila ukishafanya hivyo njoo useme feedback hapa, Rais JK ni mshikaji wangu loong time hata kabla hajawa Rais waulize watu wa New York watakwambia ukweli mpaka leo tupo vile vile, sasa niambie na hizo picha nilizopiga naye ni Malecela ndiye alimuambia tupige? hahahahahahaha binadam mjinga hata kwenye ukweli hujifanya kujua unajua nini wewe mshamba wewe, tuliza boli nakushukuru sana kwa kunipa platform ya kuweka ukweli wazi, wenye akili wakisoma hapa wanaelewa ila wajinga akama wewe wataendelea kubisha unabisha nini jali maisha yako mabovu, hivi kweli wewe mjinga utalinganisha maisha yangu na yako? pleasee hahahahahahahahah wewe unaweza kweli kunitisha mimi na maneno ya kijinga kama mlevi unafikiri mimi ninatishika na wajinga kama wewe, with absolutely no edcuation huna elimu wewe huoni kwamba ni empty head? hahahahahah tisha wajinga wenzako sio mimi

The King Of All Bongo Social MEdia Network

Sasa hii ni comment au makala? Mtu mjinga na asiye na elinu hawezi kamwe akakupotezea muda wako kuandika makala yote hii, that's means sindano zinakuingia vilivyo na Dr Murray nipo hapa leo lazima nitakuover dose tu.

Watu wako busy na kazi zao nani anahitaji uongozi kwenye chama ambacho mtu yeyote mwenye laptop na modem naye ni bloger, wenzako kina Maggid Mjengwa hawana muda wa kipuuzi wapo field kwenye project ambazo ziko funded na donors wewe kalagabaho CEO wa blog.

Sasa turudi nyuma maana hata hukumbuki hii thread inahusu nini hivi kati ya mimi Matola na wewe rafiki wa Jakaya Kikwete ni nani Jinga na pumbavu kabisa linalofuatilia maisha ya Mwanaume mwenzake?

Usipanic!
 
Hiii kazi mnayo,wazee wazima misutano km kule kwetu mbagala....

- It always workes for me kwa sababu wananchi wengi hawanijui vizuri wanasikia maneno mengi ya kijinga kama haya ndio maana ninapenda sana this kind of the game kwa sababu inanipa a platform ya kusikika na kuweka ukweli ulipo kila mwenye akili akisoma hii thread anaishia kuelewa kwamba wale watukana matusi maarufu humu wamekamatwa pabaya maana wamezoea kutukana wasioweza kuja kujibu, I am here siwaogopi na matusi yao ya kizamani nawapa za uso na hoja na facts tupu U know and I love it!!

- Mwanaume mzima una mke na watoto unafuatilia mwanaume mwngine kama mimi na kuja kutunga umbeya na majungu huku JF eti unajiita Mwanaume au? hahahahahahahahahahaha kwani by the way wewe ni Mwanaume kweli maana sijawahi kuona Mwanaume anaweza kufanya mambo kama haya ya kitchen party au? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- It always workes for me kwa sababu wananchi wengi hawanijui vizuri wanasikia maneno mengi ya kijinga kama haya ndio maana ninapenda sana this kind of the game kwa sababu inanipa a platform ya kusikika na kuweka ukweli ulipo kila mwenye akili akisoma hii thread anaishia kuelewa kwamba wale watukana matusi maarufu humu wamekamatwa pabaya maana wamezoea kutukana wasioweza kuja kujibu, I am here siwaogopi na matusi yao ya kizamani nawapa za uso na hoja na facts tupu U know and I love it!!

Le Mutuz

Haya mkuu,sie wengine ngoja tutazame,msiuane tu!
 
Back
Top Bottom