- Le mburulazzzz unanichekesha sana maneno mengi hoja hamna, Michuzi hahusiki na this foolishness of yours, Juzi nimechaguliwa kuwa kiongozi wa Tanzania Bloggers Asscociation jiulize ni kwa nini wamenichagua kabla hujajivua nguo hapa na ujinga ujinga, Michuzi ni my close friend tunatoka mbali sana na this life ya mjini sina tatizo naye ana area zake na mimi nina zangu we respect each other na kwenye many project we work together kwa hiyo umekosea sana kwenye hiyo njiia nimekubana mbavu huna pa kutokea tizama unavyohangaika kama kuku anataka kutaga, hiyo picha imepigwa siky ya Dinner ya Muungano Ikulu niambie kama wewe au baba yako alialikwa? hahahahahahahahah
- Ninarudia tena juzi nimeongea na Rais na siku wa peke yangu mmoja wa tuliyeongea naye ni Steve Nyerere siku aliyofanyiwa operation ya kwamba ilikuwa baada tu ya operation hayo ni yako maana unaona kwamba huna pa kutokea mmezoea kutukana watu wasiokuja kujibu hapa mimi nitakupa FACTS mpaka ujielewe mjinga wewe, mwanaume mzima kazi kufutailia maisha ya wananume wengine yako mwenye ni empty huna life maana Mwanaume huwezi kulala macho na maisha ya asiyekuhusu lazima una matatizo makubwa sana kimaisha, wewe mjinga wewe utajilinganisha na mimi on what?
- Kuhusu JF nimekwambia mara nyingi sana nenda Brela pale Mnazimmoja, gorofa ya Saba muulizie Fraank mwambie unataka kuona information za Jamiiiforums watakupa utajionea yote na utaona jina langu, ila ukishafanya hivyo njoo useme feedback hapa, Rais JK ni mshikaji wangu loong time hata kabla hajawa Rais waulize watu wa New York watakwambia ukweli mpaka leo tupo vile vile, sasa niambie na hizo picha nilizopiga naye ni Malecela ndiye alimuambia tupige? hahahahahahaha binadam mjinga hata kwenye ukweli hujifanya kujua unajua nini wewe mshamba wewe, tuliza boli nakushukuru sana kwa kunipa platform ya kuweka ukweli wazi, wenye akili wakisoma hapa wanaelewa ila wajinga akama wewe wataendelea kubisha unabisha nini jali maisha yako mabovu, hivi kweli wewe mjinga utalinganisha maisha yangu na yako? pleasee hahahahahahahahah wewe unaweza kweli kunitisha mimi na maneno ya kijinga kama mlevi unafikiri mimi ninatishika na wajinga kama wewe, with absolutely no edcuation huna elimu wewe huoni kwamba ni empty head? hahahahahah tisha wajinga wenzako sio mimi
The King Of All Bongo Social MEdia Network